Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?
Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.
Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.