Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Hoja yako inaungwa mkono 100% na mwamba na wafuasi wake:

Cc: Fortila, fazila, imhotep, Erythrocytes, waliomo na wasiokuwami au nasema uongo?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mke wa Amsterdam,kinyume na hapo anapata hela za ukibaraka wake
 
Swali la aina hii alitakiwa kuuliza mjukuu wangu ephen_!! Labda ningemuona ana sababu. Sasa wewe mtoto wa kiume, unataka vipi kufahamu shughuli za mwanaume mwenzako!! Huoni una shida mahali?

Itakusaidia nini! Aliwahi kuja kukulilia shida?
Lucas Mwashambwa anatia mashaka sana haiwezekani mwanaume rijali kabisa uishi kwa kusifia watu wengine hiyo ni dosari kubwa
 
Maneno ya mitandaoni ,alipoambiwa apeleke ushahidi wa rushwa akaomba msamaa kamati kuu.
Lissu ameweka challenge kasema hiyo video akiomba msamaha iletwe kabla haija editiwa mpaka dakika hii wenje na mramba asali mkuu hawajaleta na badala yake Lissu kamwita wenye ni dalali na akazidi kufafanua kwamba wenje ni mmoja wa wanufaika, yeye alizikataa noti, rushwa haina risiti, alyetoa rushwa alimtajia bwana lisu kwa majina yote waliochukua akimshawishi na yeye asikatae.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
sasa hata wewe mwehu ndio wa kuhoji shughuri za lissu hivi hii dunia inaenda wapi yaani umevimbiwa kande zako na ulanzi unakuja kututolea ushuzi wako jf hapa tafuta choo ukakate gogo huko kenge weee
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hoja za kijinga sana hizo na hazina mashiko.
 
Wewe ni mjinga, kwahiyo ni jukumu la mwenyekiti kutoa fedha za kunihudumia chama ?? Au pia tuseme ni jukumu la rais kutoa pesa yake kuiendesha serikali ?! Chama hakuna memorindum ya miongizo ya Makato, hakuna ruzuku nk. Stupid lazy brain ass nigga
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pesa ya wengi/michango ya wanachama na wadau itakuwa na nguvu na Ina nguvu ya pamoja kuliko pesa ya mtu. Akiringa wote mnalala njaa. Akipenda anawamegea anavyotaka. Na chama amekiweka mfukoni kama pesa alivyoziweka mfukoni pia.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe jamaa kweli ni zero brain mchumia mboga naona unacheza na upepo unapoelekea chawa mwenye njaa....Leo imekuaje umehamia kwa mbowe au kwa vile mlishashika matako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muulizs kwanza pesa mlizo mchangia za gari ziko wapi? Kama sizo anazo tumia kwenda kusalimia familia ughaibuni
 
Swali la aina hii alitakiwa kuuliza mjukuu wangu ephen_!! Labda ningemuona ana sababu. Sasa wewe mtoto wa kiume, unataka vipi kufahamu shughuli za mwanaume mwenzako!! Huoni una shida mahali?

Itakusaidia nini! Aliwahi kuja kukulilia shida?
Bila shaka hata Ninyi Wafuasi wake kiduchu mmegundua kuwa mtu wenu hana shughuli yoyote ile ya kumuingizia kipato zaidi ya uzurutaji tu. Sasa ni vipi atafanya na kuwa na akili ya kuleta mawazo mapya na mkakati mpya wa kukifanya chama kujitegemee
 
Back
Top Bottom