Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Tundu Lissu anataka akitoe chama kwenye ulimwengu wa kumtegemea mtu mmoja kukiendesha na kukifanya kuwa taasisi inayoweza kujitegemea na kuwa vyanzo vyake vya mapato.
Taasisi gani wakati yeye mwenyewe hana shughuli ya kumuingizia kipato? Je hiyo akili ya kukifanya chama kujitegemea atatoa wapi?
 
Hivi haya uliyoyaandika ndio jibu la swali langu? Umeishia darasa la ngapi? Ndiivyo mwalimu wako alikufundisha ujibuji wa maswali?
Comrade, huwezi kuhangaika kutaka kujua maisha ya wenzako, na wakati maisha yako tu yanakushinda. Au ulishawahi kumuona huyo Mh. Tundu Lissu akijigeuza kuwa CHAWA, kama ufanyavyo wewe!!

Au hufahamu maana ya mtu kuitwa/kujiita CHAWA? Maana yake hana maisha yake binafsi, isipokuwa huishi kwa kutegemea hisani ya watu wengine. Na wewe ni mfano halisi wa kiumbe anayeitwa CHAWA! Na kama unabisha, sema nimuite rafiko yako CHIEF PRIEST!!
 
Hapo Mbweni Watoto wadogo ndio wanajenga hizo takataka bwashee 😂😄😂

Yeriko hapo Kigamboni boss Wao Mwijaku na Joti 😄😄🐼
Hapana Mbweni washua tupu ,MAMA KIZIMKAZI na HAPA ipo.



Nimeona mjengo wa Joti na Mwijaku yote haufikii wa Yericko ,kwanza kiwanja cha joti yaani sijui 20 kwa 20 kile maana hata parking hana ,na mwijaku na yeye kiwanja kidogo hana space ila Yericko ana SPAAAACEEE sema SPACEEEEEE!
 
Swali lipo wazi kabisa kuwa lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato? Sasa nini kinakushinda kujibu swali hilo?
 
Nataka ujibu swali Kuwa ni shughuli gani anayoifanya lissu kwa sasa ya kumuingizia kipato?
Mpaka utakapoeleza mbowe ni lini alitoa fedha yake bure bure kugaia chama, yawezekana mbowe anazo fedha kwenye account yake binafsi lakini kwenye chama mbowe hadai ata shilingi 1.

Trump ni tajiri mkubwa sana, lakini hatatumia ata $ moja kutoka kwenye account yake binafsi kusaidia kuendesha serikali ya marekani na badala yake Trump atalipwa mshahara na Serikali ya Marekani kama Rais.
 
Wewe team FAM, hatuchagui mfadhili wa chama, tunachagua mwenyekiti wa chama. Mbowe kama anazo hela, abaki kuwa mfadhili na mjumbe wa mkutano mkuu wa kudumu
 
mbowe kama ana fedha hizo kwanini arambe asali? kwanini abduli, lissu anawajuwa waliorambishwa asali ila amemtaja Wenje tu kwanza na wenje hajakaa kula mlungula

Maneno ya mitandaoni ,alipoambiwa apeleke ushahidi wa rushwa akaomba msamaa kamati kuu.
 
Swali lipo wazi kabisa kuwa lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato? Sasa nini kinakushinda kujibu swali hilo?
Swali la aina hii alitakiwa kuuliza mjukuu wangu ephen_!! Labda ningemuona ana sababu. Sasa wewe mtoto wa kiume, unataka vipi kufahamu shughuli za mwanaume mwenzako!! Huoni una shida mahali?

Itakusaidia nini! Aliwahi kuja kukulilia shida?
 
Maarifa gani hayo anayouza?
Utajuaje na wewe akili yako inatosha tu kusifia wenye nazo ili wakutupie makombo toka mezani kwao? Umejipendekeza kwa Samia,Tulia Ackson, Makonda,Kafulila ,wote wamekupotezea baada ya kusikia Mbowe kadakishwa b12 na Mama Abdul sasa umehamia kwa Mbowe,utasugua sana benchi wewe mjinga.
 
Kwani wewe kunguni wa mama Abdul unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato maana 24/7 ni kupiga uongo humu kuwa mama Abdul kawafikia watanzania.
 
Akili matope kumuabudu mtu,King Kong kumbe na wewe ni chawa wa Sultan,so.sad.

Mimi naitakia mema CDM iendelee ,ila TAL siasa zake ni za kukiponda chama ,kuogelea mabaya ya viongozi bila ushahidi...watu wameuawa kwenye harakati za kukijenga CDM hata yeye TAL anatembea na risasi kwa ajili ya kukulinda CDM ,sasa matendo anayofanya hayana afya kwa CDM ,kama ulimsikiliza vizuri Malisa utanielewa.
 
Lissu anaongelea machafu ya Chadema hadharani kwani nia yake akayasafishe,mambo ya kuficha fiche uozo hiyo ni staili ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…