Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Lissu ni mzururaji ndio maana muda wote anataka michango.
Lini umeona Lissu atangaza kuomba michango? Wewe ndiye unatembeza bakuli humu kwa kuwasifia watu hata ambao ulishawahi kuwakashifu. Mwanaume kukaa kutwa nzima kujadili na kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzako ni ishara ya ushoga. Unajikosesha mwenyewe sifa za uanaume ndiyo maana watu wengi humu wanaamini wewe ni shoga unayejiuza humu JF.
 
"Imemchukua karibia miezi nane lissu kutafuta milioni 80 kwa ajili ya michango ya gari,lakini mbowe ndani ya dakika 0 alichangia chama milioni 250 fedha zake kutoka mfukoni" - Wenje
Siasa bila hela nayo shida,Trump kakaa pale alipo kwa ajili ya pesa eti
 
Unataka hadi umuone karume, anataka kukijengea chama uwezo wa kujitegemea
 
Lissu ni mzururaji ndio maana muda wote anataka michango.
Samia kila siku kiguu na njia kutembeza bakuli kwa serikali yako,bajeti ya Tanzania 40% ni frdha za wafadhili. Wewe mwenyewe unatembeza bakuli hapa jukwaani kwani hajui siri ya kuwasifia watu wenye fedha ili wakurushie makombo ?
 
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais.utapigwa ban tena ili akili yako ikukae sawa.
 
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais.utapigwa ban tena ili akili yako ikukae sawa.
Kwani uongo hatuishi kwa misaada na mikopo tatizo wewe akili yako ni kiduchu mno inatosha kusifia tu nje ya hapo wewe ni kibaka tu au hujui kilichopandisha deni la nje toka 70t wakati anaingia hadi kufikia 90 t?
 
Attachments

  • IMG-20240613-WA0022.jpg
    44 KB · Views: 3
  • IMG-20240613-WA0023.jpg
    50.4 KB · Views: 2
Dogo ilikuwaje ukikubali kupoteza MARINDA?? unapata faida Gani kuwa PUNGA?? BWABWA?? Kupakuliwa SAMVU LA KOPO
Naona majibu umekosa umeamua kuanza kuropoka ropoka kama kichaa au mwendawazimu.hapa nataka majibu tu na wala siyo ngonjera . haiwezekani mtu wenu anafanya kazi ya kuzurura tu muda wote bila kazi.
 
Lissu kila siku yeye ni mtu wa kuomba michango tu muda wote.
 
Kaka CCM serikali Yako Toka Uhuru inatembeza bakuli la ombaomba, kwenye bajeti ya kila mwaka.
Embu jibu swali hilo mara moja na kwa ufupi.lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato cha kila siku zaidi ya uzururaji?
 
Swali gani umeuliza wewe juha?
Lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato zaidi ya uzururaji anaoufanya na kuomba michango kwa kila kitu? Alikuwa anataka kununuliwa gari kwa michango ya watu.kwani yeye hawezi kufanya kazi ili ajinunulie gari lake?
 
Embu jibu swali hilo mara moja na kwa ufupi.lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato cha kila siku zaidi ya uzururaji?
Ngoja tutafanya mpango huyu Lissu akuoe kabisa ili umalize kiu yako kwake,mwanamke hutulii kwa mumeo kutwa kuuliza habari za waume za wanawake wenzako .
 
Lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato zaidi ya uzururaji anaoufanya na kuomba michango kwa kila kitu? Alikuwa anataka kununuliwa gari kwa michango ya watu.kwani yeye hawezi kufanya kazi ili ajinunulie gari lake?
Lissu ni mumeo mtarajiwa utamuuliza wakati anakupumulia usitujazie server kwa maujinga yako.
 
Nchi hii imejaa mabumunda sana. Chama cha kisiasa si chama cha watu na kinapaswa kuiendeshwa kwa ada na michango ya wanachama na ruzuku kama imefikia sifa ya ruzuku.

Haya tuambie; Samia anafanya shughuli gani za kiuchumi zitakazomuwezesha kukisaidia CCM?

akina Msekwa na Kinana walikuwa na shughuli zipi za kuwaingizia kipato kwa ajili ya kuisaidia CCM?
 
Naona majibu umekosa umeamua kuanza kuropoka ropoka kama kichaa au mwendawazimu.hapa nataka majibu tu na wala siyo ngonjera . haiwezekani mtu wenu anafanya kazi ya kuzurura tu muda wote bila kazi.
Mjibu ulipotezaje marinda yako?
 
Kujua kazi za watu nako pia ni uchawi. Mbona wewe 24 hrs upo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…