Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Hivi viongozi wa ccm, waliopita na aliyepo, walikuwa na/ana kazi gani iliyowapatia/inayompatia kipato kilchowawezesha/kinachomwezesha kukisaidia chama, hivyo kufanya kuwa vigumu kwao/ kwake kununuliwa na mabeberu?
Sasa jibu lipo wapi la swali langu?mbona mgumu sana wa kuelewa?
 
"Imemchukua karibia miezi nane lissu kutafuta milioni 80 kwa ajili ya michango ya gari,lakini mbowe ndani ya dakika 0 alichangia chama milioni 250 fedha zake kutoka mfukoni" - Wenje
Sabodo aliwahi kuwachangia Chadema milioni 80 na hakuwahi kuwa kiongozi na pia labda sio mwanachama!
 
"Imemchukua karibia miezi nane lissu kutafuta milioni 80 kwa ajili ya michango ya gari,lakini mbowe ndani ya dakika 0 alichangia chama milioni 250 fedha zake kutoka mfukoni" - Wenje
Hiyo 250m zimetoka kwa Abdul, na ruzuku ikiingia mwamba anazidai anaweka kibindoni.
 
Unabubujikwa michozi ukiwa serenje au swaya.
Awe na kipato gani hapo makelele yote wanapigania ruzuku tu, usingemsikia Lissu kutoa neno angepewa chake na kuridhika.
Ukiona hivyo kapunjwa.
 
Mimi ni mkulima na siyo mzuraji kama mtu wenu asiye na shughuli ya kufanya
Wewe bwabwa Lissu ni Wakili msomi utasemaje ni mzururaji? Una upuuzi mwingi sana. Kutwa kucha kuanzisha nyuzi kumsakama Lissu inaonyesha huna kazi ya kufanya. Sasa umehamia kwa Mbowe uliyekuwa unamuanzishia nyuzi za kumkashifu. Huo ni umalaya.
 
Attachments

  • Screenshot_20241218_213757.jpg
    Screenshot_20241218_213757.jpg
    195.1 KB · Views: 3
Wewe bwabwa Lissu ni Wakili msomi utasemaje ni mzururaji? Una upuuzi mwingi sana. Kutwa kucha kuanzisha nyuzi kumsakama Lissu inaonyesha huna kazi ya kufanya. Sasa umehamia kwa Mbowe uliyekuwa unamuanzishia nyuzi za kumkashifu. Huo ni umalaya.
Lissu ni mzururaji ndio maana muda wote anataka michango.
 
Back
Top Bottom