Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wenyeviti wa ccm walikuwa wakifanya shughuli zipi za kuwaingizia vipato?Nataka ujibu swali Kuwa ni shughuli gani anayoifanya lissu kwa sasa ya kumuingizia kipato?
Sasa jibu lipo wapi la swali langu?mbona mgumu sana wa kuelewa?Hivi viongozi wa ccm, waliopita na aliyepo, walikuwa na/ana kazi gani iliyowapatia/inayompatia kipato kilchowawezesha/kinachomwezesha kukisaidia chama, hivyo kufanya kuwa vigumu kwao/ kwake kununuliwa na mabeberu?
Kwani Mbowe ndiye amezuia Lissu asiwe na shughuli ya kufanya kumuingizia kipato?Ajabu ni pale Mbowe anapotetewa na michawa ya ccm?
Sabodo aliwahi kuwachangia Chadema milioni 80 na hakuwahi kuwa kiongozi na pia labda sio mwanachama!"Imemchukua karibia miezi nane lissu kutafuta milioni 80 kwa ajili ya michango ya gari,lakini mbowe ndani ya dakika 0 alichangia chama milioni 250 fedha zake kutoka mfukoni" - Wenje
Sabodo anahusiana vipi na swali langu .Sabodo aliwahi kuwachangia Chadema milioni 80 na hakuwahi kuwa kiongozi na pia labda sio mwanachama!
Kuchangia pesa sio kigezo cha kuwa kiongozi bora.Sabodo anahusiana vipi na swali langu .
Hiyo 250m zimetoka kwa Abdul, na ruzuku ikiingia mwamba anazidai anaweka kibindoni."Imemchukua karibia miezi nane lissu kutafuta milioni 80 kwa ajili ya michango ya gari,lakini mbowe ndani ya dakika 0 alichangia chama milioni 250 fedha zake kutoka mfukoni" - Wenje
Embu nijibu kwa ufupi kuwa lissu anafanya shughuli gani ya kila siku inayomuingizia kipato?Kuchangia pesa sio kigezo cha kuwa kiongozi bora.
Mimi sijui, muulize yeye mwenyewe.Embu nijibu kwa ufupi kuwa lissu anafanya shughuli gani ya kila siku inayomuingizia kipato?
Achana na hilo bwabwa lisilo na kazi ya kufanya zaidi ya uchawa tu kama dada poa fulani hivi.Mimi sijui, muulize yeye mwenyewe.
Mimi ni mkulima na siyo mzuraji kama mtu wenu asiye na shughuli ya kufanyaAchana na hilo bwabwa lisilo na kazi ya kufanya zaidi ya uchawa tu kama dada poa fulani hivi.
Anafanya shughuli gani zaidi ya uzururaji.Dume zima unafuatilia maisha ya mwanaume mwenzako ambaye amekuzidi vitu vingi
Afadhali kumbe waongo jamani 😥Siyo kweli mdogo wangu.kwanza haziitwi bodaboda.zinaitwa pikipiki.
Wewe bwabwa Lissu ni Wakili msomi utasemaje ni mzururaji? Una upuuzi mwingi sana. Kutwa kucha kuanzisha nyuzi kumsakama Lissu inaonyesha huna kazi ya kufanya. Sasa umehamia kwa Mbowe uliyekuwa unamuanzishia nyuzi za kumkashifu. Huo ni umalaya.Mimi ni mkulima na siyo mzuraji kama mtu wenu asiye na shughuli ya kufanya
Uchawa.Anza kwanza kutuambia shughuli unayofanya wewe. Maana masaa 24 uko humu jukwaani kusifia tu binadamu wenzako.
Lissu ni mzururaji ndio maana muda wote anataka michango.Wewe bwabwa Lissu ni Wakili msomi utasemaje ni mzururaji? Una upuuzi mwingi sana. Kutwa kucha kuanzisha nyuzi kumsakama Lissu inaonyesha huna kazi ya kufanya. Sasa umehamia kwa Mbowe uliyekuwa unamuanzishia nyuzi za kumkashifu. Huo ni umalaya.