SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
No escape route 😆Hata usipokula hivyo vya wakulima ukapanda vyako utakufa
Yaani kiufupi kufa kupo pale pale
SHida iliyopo unakuja kula tena hizo dawaKilimo cha kienyeji ni hasara sana Dada.
Asaiv ni mwendo wa viatilifu tu ili kupunguza gharama
We unajua kila mtu ameajiriwa huku anasubiri pensheni kama etiNdio ubepari huo, dawa zimekuwa ndio chakula na chakula ni dawa. Endelea kukusanya iyo misumu huko mwilini ili utakapostaafu utumie pensheni yako kujitibu.