Hivi tutaishije kama hali ikiendelea kuwa hivi?

Hivi tutaishije kama hali ikiendelea kuwa hivi?

Kilichobaki ni kuhimizana kufanya sana mazoezi ili kuondoa baadhi ya sumu mwilini kwa njia ya kutoka jasho la sivyo inakuja miaka tutaugua sana kansa na magonjwa mengine mabaya zaidi.
 
Ukilalamika huku unafikir watakusikia
Watu wanataka mazao mengi wanatumia dawa na mbolea ya dukani
 
Hakuna kitu chakula ambacho kipo salama 100%

Cga msingi ni sio sumu ya kuua hapo kwa hapo.
 
D0FC6CBF-CE16-4B0D-BEDC-B6193E603156.jpeg
139A0BE0-7C10-46CB-84B4-E1680F343991.jpeg
6B1765DE-72E8-407F-9D29-53CC3350E516.jpeg
 
Usiseme hivo ndo nimeanza diet na kuacha kamnyweso 😂😂😂😂
Mboga, matunda zimejaa masumu kibao 😅😅😅, wewe rudi zetu huku tuumwagilie moyo tu
 
We unajua kila mtu ameajiriwa huku anasubiri pensheni kama eti
Acha kukariri maisha, pensheni si kwa ajili ya waajiriwa tu. Ata mtu aliyejiajiri anajilipa mshahara, anajitunzia pensheni, na ana muda aliojiwekea wa kustaafu.
 
Tatizo sio sisi wakulima, bali ni wafanyabiashara, kuanzia mbegu, viuatilifu, mbolea, dawa nk. Sekta ya chakula ndo biashara yenye mzunguko mkubwa zaidi duniani, ikifuatiwa na afya.
 
lima bustani yako kama ni rahisi kwenda kienyeji binti yangu
 
Yaani wakulima wanatuua kimya kimya.
WAnawaka dawa kila mmea waupandao .

1. Mahindi tokea majani yaliyobaki baada ya mavuno wao wanapulizia dawa majani yanakauka .

Haya baada ya hapo wanaandaa shamba wanaanzisha madawa ndio wanapanda wiki 3 wanapulizia tena madawa hadi uvune mahindi ni madawa matupu.

Kwa maharage na kila zao ni madawa sasa watu watakosaje magonjwa ya wazungu.
Zamani watu wanapanda nakuweka vitu vya asili ila sasa kila siku ni madawa ndio maana kuna kensa kwa sasa saratani ya kila kiungo kisa chakula tunachokula kina madawa yakutosha .

Sasa wanaopanda mazao mnataka nini kupoteza taifa la kesho kwa madawa ?? Maana kila kitu kwa sasa kina madawa yanasikika hadi shida msiwe mnaweka tu mazao ya madawa ili muuze jaribuni kuona walaji watakuwaje .
Lima mwenyewe ili usilishwe mazao yenye madawa, tanzania bado ina eneo kubwa sana ambalo halijatolewa bikra.
 
TBS na TMDA wanasemaje? Serikali ya CCM inasemaje?
Yaani wakulima wanatuua kimya kimya.
WAnawaka dawa kila mmea waupandao .

1. Mahindi tokea majani yaliyobaki baada ya mavuno wao wanapulizia dawa majani yanakauka .

Haya baada ya hapo wanaandaa shamba wanaanzisha madawa ndio wanapanda wiki 3 wanapulizia tena madawa hadi uvune mahindi ni madawa matupu.

Kwa maharage na kila zao ni madawa sasa watu watakosaje magonjwa ya wazungu.
Zamani watu wanapanda nakuweka vitu vya asili ila sasa kila siku ni madawa ndio maana kuna kensa kwa sasa saratani ya kila kiungo kisa chakula tunachokula kina madawa yakutosha .

Sasa wanaopanda mazao mnataka nini kupoteza taifa la kesho kwa madawa ?? Maana kila kitu kwa sasa kina madawa yanasikika hadi shida msiwe mnaweka tu mazao ya madawa ili muuze jaribuni kuona walaji watakuwaje .
TBS na TMDA wanasemaje? Serikali ya CCM inasemaje?
 
TBS na TMDA wanasemaje? Serikali ya CCM inasemaje?

TBS na TMDA wanasemaje? Serikali ya CCM inasemaje?
Kama nyie hamtadhibiti hii hali nani atadhibiti nyie mnaletewa madawa na nyie ndio mnatakiaa kuyakataa na kudai mbolea na vitu vya asili vitakavyowekwa ili mazao yakue isiwe baadae maradhi kwa watu hata nyie mnakula hivyo hivyo vyakula so hakikisheni mnadhibiti haya madawa ya wazungu manaa inawezekana
 
Mboga, matunda zimejaa masumu kibao 😅😅😅, wewe rudi zetu huku tuumwagilie moyo tu
Waambie wanajifanya hawaoni ila hawajui wanamaliza watu zamani kwanini tulikuwa tunaishi bila hayo madawa hadi wazungu wakaja namadawa wakaharibu rutuba zetu saivi bila madawa hazikui mazao why tujifanye wazungu tumalize miili yetu kwa kila namna
 
Back
Top Bottom