Hivi tutaishije kama hali ikiendelea kuwa hivi?

Hivi tutaishije kama hali ikiendelea kuwa hivi?

Ni kweli
Kilichobaki ni kuhimizana kufanya sana mazoezi ili kuondoa baadhi ya sumu mwilini kwa njia ya kutoka jasho la sivyo inakuja miaka tutaugua sana kansa na magonjwa mengine mabaya zaidi.
 
Sasa wanaopanda mazao mnataka nini kupoteza taifa la kesho kwa madawa ?? Maana kila kitu kwa sasa kina madawa yanasikika hadi shida msiwe mnaweka tu mazao ya madawa ili muuze jaribuni kuona walaji watakuwaje .
GMO hio kawaulize TARI sijui nini wanamjua huyo GMO anavyofanya kazi km kuku wa kizungu wote tunakua mabroila ushawahi wasogelea karibu wanavyonuka madawa?
 
Hakuna kitu chakula ambacho kipo salama 100%

Cga msingi ni sio sumu ya kuua hapo kwa hapo.
ZAmani wazee wetu wamekuwa wakila vitu natural ndio mana walidumu sasa kama hatutaenda hivyoo kama wao unatarajia nini kwa miaka 5 ya baadae
 
Bado kuna maji kilimanjaro wanawaweka dawa , kila maji ya viwandani yote ni dawa maji ya idara ya maji dawa maziwa hadi ng'ombe wanawalisha madawa yaani shida sana aisee hii ni kerooo hadi maparachichi dawa sasa kama mapapai ni dawa huoni tumeshafikia pabaya mboga niwanaweka dawa nazi tu ndio haina dawa . Jamani tunaelekea wapi?? Na afya zetu ??
Sasa hivi napanda minazi Kama 2000 hivi napuliza dawa kwenye mashimo kuzuia mchwa.
Bila madawa hutoboi.
Tukitumia dawa za vitu asili(organic) hutaweza gharama ya hicho unachonunua sasa toka kwa mkulima.
 
Sasa hivi napanda minazi Kama 2000 hivi napuliza dawa kwenye mashimo kuzuia mchwa.
Bila madawa hutoboi.
Ilitumia dawa za vitu asili(organic) hutaweza gharama ya hicho unachonunua Sasa toka kwa mkulima.
Jamani wekeni basi kwa kipimo kwa mana watu wanaangamia na madawa
 
Hata usipokula hivyo vya wakulima ukapanda vyako utakufa

Yaani kiufupi kufa kupo pale pale
ashura-giorno-tenda-dell-imam-hussain_800913-144.jpg
 
Back
Top Bottom