Usipo uwawa na bia utauwawa na maharage ๐คฃKaishi Mars da Mau
Usiseme hivo ndo nimeanza diet na kuacha kamnyweso ๐๐๐๐Usipo uwawa na bia utauwawa na maharage ๐คฃ
Ukiinama nchale ukiinuka nchale๐๐
Mboga, matunda zimejaa masumu kibao ๐ ๐ ๐ , wewe rudi zetu huku tuumwagilie moyo tuUsiseme hivo ndo nimeanza diet na kuacha kamnyweso ๐๐๐๐
Acha kukariri maisha, pensheni si kwa ajili ya waajiriwa tu. Ata mtu aliyejiajiri anajilipa mshahara, anajitunzia pensheni, na ana muda aliojiwekea wa kustaafu.We unajua kila mtu ameajiriwa huku anasubiri pensheni kama eti
Wapi huko?Bora hata hao wa madawa kila hatua ya mmea,sisi huku jua linawaka na likiendelea hivi ndani ya wiki tatu itakuwa hata ukichoma moto shamba linawaka kisibaki kitu.
๐๐๐๐๐Kajaribu kulima bila madawa uone kitakavyokulamba
imenyesha usiku wa leo!Wapi huko?
Lima mwenyewe ili usilishwe mazao yenye madawa, tanzania bado ina eneo kubwa sana ambalo halijatolewa bikra.Yaani wakulima wanatuua kimya kimya.
WAnawaka dawa kila mmea waupandao .
1. Mahindi tokea majani yaliyobaki baada ya mavuno wao wanapulizia dawa majani yanakauka .
Haya baada ya hapo wanaandaa shamba wanaanzisha madawa ndio wanapanda wiki 3 wanapulizia tena madawa hadi uvune mahindi ni madawa matupu.
Kwa maharage na kila zao ni madawa sasa watu watakosaje magonjwa ya wazungu.
Zamani watu wanapanda nakuweka vitu vya asili ila sasa kila siku ni madawa ndio maana kuna kensa kwa sasa saratani ya kila kiungo kisa chakula tunachokula kina madawa yakutosha .
Sasa wanaopanda mazao mnataka nini kupoteza taifa la kesho kwa madawa ?? Maana kila kitu kwa sasa kina madawa yanasikika hadi shida msiwe mnaweka tu mazao ya madawa ili muuze jaribuni kuona walaji watakuwaje .
TBS na TMDA wanasemaje? Serikali ya CCM inasemaje?Yaani wakulima wanatuua kimya kimya.
WAnawaka dawa kila mmea waupandao .
1. Mahindi tokea majani yaliyobaki baada ya mavuno wao wanapulizia dawa majani yanakauka .
Haya baada ya hapo wanaandaa shamba wanaanzisha madawa ndio wanapanda wiki 3 wanapulizia tena madawa hadi uvune mahindi ni madawa matupu.
Kwa maharage na kila zao ni madawa sasa watu watakosaje magonjwa ya wazungu.
Zamani watu wanapanda nakuweka vitu vya asili ila sasa kila siku ni madawa ndio maana kuna kensa kwa sasa saratani ya kila kiungo kisa chakula tunachokula kina madawa yakutosha .
Sasa wanaopanda mazao mnataka nini kupoteza taifa la kesho kwa madawa ?? Maana kila kitu kwa sasa kina madawa yanasikika hadi shida msiwe mnaweka tu mazao ya madawa ili muuze jaribuni kuona walaji watakuwaje .
Ni kweli ila ukiwa na huruma huwezi jiangalia mwenyeweLima mwenyewe ili usilishwe mazao yenye madawa, tanzania bado ina eneo kubwa sana ambalo halijatolewa bikra.
Kama nyie hamtadhibiti hii hali nani atadhibiti nyie mnaletewa madawa na nyie ndio mnatakiaa kuyakataa na kudai mbolea na vitu vya asili vitakavyowekwa ili mazao yakue isiwe baadae maradhi kwa watu hata nyie mnakula hivyo hivyo vyakula so hakikisheni mnadhibiti haya madawa ya wazungu manaa inawezekanaTBS na TMDA wanasemaje? Serikali ya CCM inasemaje?
TBS na TMDA wanasemaje? Serikali ya CCM inasemaje?
Waambie wanajifanya hawaoni ila hawajui wanamaliza watu zamani kwanini tulikuwa tunaishi bila hayo madawa hadi wazungu wakaja namadawa wakaharibu rutuba zetu saivi bila madawa hazikui mazao why tujifanye wazungu tumalize miili yetu kwa kila namnaMboga, matunda zimejaa masumu kibao ๐ ๐ ๐ , wewe rudi zetu huku tuumwagilie moyo tu
Acha tu Mungu atusaidieUsipo uwawa na bia utauwawa na maharage ๐คฃ
Ukiinama nchale ukiinuka nchale๐๐