SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
- Thread starter
-
- #41
Kilichobaki ni kuhimizana kufanya sana mazoezi ili kuondoa baadhi ya sumu mwilini kwa njia ya kutoka jasho la sivyo inakuja miaka tutaugua sana kansa na magonjwa mengine mabaya zaidi.
GMO hio kawaulize TARI sijui nini wanamjua huyo GMO anavyofanya kazi km kuku wa kizungu wote tunakua mabroila ushawahi wasogelea karibu wanavyonuka madawa?Sasa wanaopanda mazao mnataka nini kupoteza taifa la kesho kwa madawa ?? Maana kila kitu kwa sasa kina madawa yanasikika hadi shida msiwe mnaweka tu mazao ya madawa ili muuze jaribuni kuona walaji watakuwaje .
ZAmani wazee wetu wamekuwa wakila vitu natural ndio mana walidumu sasa kama hatutaenda hivyoo kama wao unatarajia nini kwa miaka 5 ya baadaeHakuna kitu chakula ambacho kipo salama 100%
Cga msingi ni sio sumu ya kuua hapo kwa hapo.
Sasa hivi napanda minazi Kama 2000 hivi napuliza dawa kwenye mashimo kuzuia mchwa.Bado kuna maji kilimanjaro wanawaweka dawa , kila maji ya viwandani yote ni dawa maji ya idara ya maji dawa maziwa hadi ng'ombe wanawalisha madawa yaani shida sana aisee hii ni kerooo hadi maparachichi dawa sasa kama mapapai ni dawa huoni tumeshafikia pabaya mboga niwanaweka dawa nazi tu ndio haina dawa . Jamani tunaelekea wapi?? Na afya zetu ??
Jamani wekeni basi kwa kipimo kwa mana watu wanaangamia na madawaSasa hivi napanda minazi Kama 2000 hivi napuliza dawa kwenye mashimo kuzuia mchwa.
Bila madawa hutoboi.
Ilitumia dawa za vitu asili(organic) hutaweza gharama ya hicho unachonunua Sasa toka kwa mkulima.
Hata usipokula hivyo vya wakulima ukapanda vyako utakufa
Yaani kiufupi kufa kupo pale pale