Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana.

Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8.

Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu.

Wanasema Mewe wako vizuri na Wana guarantee ya miaka 2. Quality ya picha ni sawa tu na hizo Hisense na uzuri wanatumia Android ambayo ni Bora kuliko Vidaa ya Hisense. Pia Mewe wanayo mpaka option ya Double glass.

Sasa nmeona Kabla ya kufanya maamuzi ya kuchukua hii Tv nije kwa wajuzi humu maana humu ndo ndo chimbo kuu la maarifa unbiased.

Hizi Tv za Mewe zikoje?
Ulinunua ipi,
 
Naskia wameshika soko la West Africa ..east Africa ndo wameingia hvi karbun ndomaana wamekuja na strategy ya bei cheap.

ila ukienda Nigeria Ghana Hisense wanaiona kama Mewe halafu Mewe ndo Hisense ya kule

-Maneno ya muuza Tv kariakoo
Inaweza kuwa kweliii hii ni strategy ya kupenetrate sokoni Kwa Kwa product ambayo ndo inaingia sokonii
 
Inaweza kuwa kweliii hii ni strategy ya kupenetrate sokoni Kwa Kwa product ambayo ndo inaingia sokonii
Maskini tuache kujifariji. Kuna bidhaa zinalenga soko la maskini na ubora wake unakuwa mdogo! Hili lipo kwenye kila bidhaa. Nguo nyingi zinazouzwa Bongo kutoka China ubora wake uko chini na pia bei yake. Simu hivyo hivyo.
 
Wana hadi Soundbars 😂😂😂 niliona siku moja nafanya window shopping nikashangaa sana duuh mara ya kwanza nilisoma vibaya nikajua mwewe 😂
Enhee hatari watakuwa wakinga hao na brand zao. 😀
 
ndo Yale yale ya simu za Guava🥲🥲
 
Back
Top Bottom