Hivi uchumi wa Tanzania unaendeshwa na nani?

Kosa la China ni kutoweka uwazi yaani walifucha taarifa, ungedhibitiwa mapema usingesambaa duniani.
Kwani si ulianza kusambaa Ulaya na Marekani ndo ikafuatia kwetu? Labda useme corona iliingia kwetu kabla ya huko na tukawa hatuna taarifa.

Lakini sisi tuligoma kabisa kufunga mipaka yetu.
 
corona haidhibitiki, watakaokufa wafe, watakaopona waendelee na maisha
 
Kwani si ulianza kusambaa Ulaya na Marekani ndo ikafuatia kwetu? Labda useme corona iliingia kwetu kabla ya huko na tukawa hatuna taarifa.

Lakini sisi tuligoma kabisa kufunga mipaka yetu.
Kufunga mipaka sio solution,hasa kwetu vipenyo ni vingi mtu alazimiki kupitia vipenyo rasmi
 
Chadema kila kitu kulalamika tu, Subirieni October tuwafute.

CHADEMA wafutwe kabisa ili wabaki CCM na wengine wakilalamika. Nchii hii hairuhusiwi kulalamika. Siku hizi hata mawazo kinzani ni malalamiko. Eeh!![emoji23][emoji23]
 
Je umeona ripoti ya UNDP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…