Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana aisee kuhusu asali niliwahi kusikia ila sikutilia maanani nataka nianze kutumia hii mbinu. Ningependa pia kujua vitu vifuatavyo.... je inamaana mtu hasikii harufu ya ganja kabisa yani hata ukivuta stendi? Na je unaipaka kwenye msokoto mzima au pale mbele tu? Pia unauvuta asali ikikauka kwenye ganja au hapo hapo tu na ubichi wa asali, pia ni asali ya nyuki wadogo au hawa hawa wanaotung'ata uraianiSkiaa, ukisharoll up hiyo kangonya unaipaka asali yote kisha washa hata jirani hasikii sana sana atasikia kama harufu ya asali asali hivii
🤣🤣🤣Huyu mwamba anaishi na Kimasikhara alafu hajui mpaka sasa...???
Kula huyo mwanga ili unyonyee weed kwa mrija wa dhahabu.Ubembee mpaka kwa Putin uwe na hisia kama ndo wewe unaetuma Vifaru na Ndege Ukrain
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hahahaha mwambie bangi hautaacha bali utapunguza kwa kuwa wewe ni mwanajeshiMaana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.
Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa makini kweli kama vile kuna kitu linataka kubaini toka kwangu, sasa hajiu kuwa mimi ni Putin.
We nunua asali mbichi the ipake kuizunguka kaya kidogo tu juu juu then jilipue afu lete mrejeshoHebu nipe hilo samo la asali man, yani mtu hasikii harufu ya ganja kabisa??
Mm nawekaga tunda za iriki na unga wa karafuu kidogo wakati nanyonga kwenye paper. Hapo hata awe nani hawezi kujua kama kunamtu anakula bomu ndani.Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.
Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa makini kweli kama vile kuna kitu linataka kubaini toka kwangu, sasa hajiu kuwa mimi ni Putin.
Kula kitu adharani wewe unajificha hadi lini unajipotezea stim kwa woga tuuMaana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.