Hivi udi unafukuza kweli harufu ya bangi kama unavutia geto?

Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.

Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa makini kweli kama vile kuna kitu linataka kubaini toka kwangu, sasa hajiu kuwa mimi ni Putin.
Washa tambaa kidogo tu
 
Vuta tu kama ni msokoto mmoja,mtu ambaye haijui hawezi jua harufu,labda uzidishe kuvuta mixer Kali... Nyox! Kaya INA moshi mwepesi.

Kwani kodi si unajilipia au unakaa bure!

Old school,block C tulikua tunajilia tu muwa na polisi wanapita nje ya ukuta.
jamaa hajikubali mimi nikiwa kwangu nakula kijiti na sinaga shobo na majirani zangu
 
Kodi yangu sipangwingwi
Wamewakataza hadi watoto wao kupita kwenye kordo iliyo na mlango wangu.
ndio askari wangu

huo ndio unyama sasa

mbona wao wakinywa pombe zao na kuanza kupiga makelele yao hatuwalalamikii?

eti harufu ya ganja tu kelele kibao!
 
Chukua glucose ile ye kuongeza nguvu
Mix na ganja wakati unanyongaโ€ฆ

Utanishukuru baadae.. msisahau mrejesho
 
Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.

Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa makini kweli kama vile kuna kitu linataka kubaini toka kwangu, sasa hajiu kuwa mimi ni Putin.
Umeanza kutumia mjani lini ..mbona sioni swali hapo!??
 
Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani.

Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa makini kweli kama vile kuna kitu linataka kubaini toka kwangu, sasa hajiu kuwa mimi ni Putin.
Tafuta majani ya msonobari
 
Udi haufukuzi harufu ya bangi ingawa ,udi una harufu Kali kushinda harufu ya bangi ikitokea ukachoma vyote bangi inazidiwa nguvu au harufu na udi
 
Usivute bangi. Unachanganya mambo. Wavuta bangi ghetto usually wanadhania bangi ni udi,wanavuta bangi kuficha harufu za ghetto.
Bangi inatengeneza estrogen ndani ya mwili. Na kama hujui estrogej ni nini,estrogen ni female hormone. Kwa hiyo bangi itatengeneza female sex hormones in your male body.
Kwa hiyo ile perception kwamba tough guys wanavuta bangi is quite wrong. Bangi itakufanya uwe effeminate.
 
Back
Top Bottom