Hivi ugonjwa wa Ebola tulioambiwa na Mabeberu upo Tanzania umeishia wapi?

Nadhani swali la msingi ulitakiwa uulize... Zile trillion 400+ tulizo ambiwa tunawadai mabeberu wa makinikia ziliishia wapi?

Alafu uulize tena hivi vile viwanda 4000 tuliambiwa vimejengwa viko wapi?

Sema kwa sababu unaakili ndogo umeishia kuuliza maswali ya kijinga.
Nyumb katika ubora wake... ameshakuja jamani huyu hapa. Tuambie Ebola iko wapi?
 
viwanda na madai ya makinikia ni mada nyingine. acha kutuchanganyia mbege kwenye wine.
hoja mezani ni ujasiri na mafanikio ya Rais kuzima propaganda za kimagharibi kutuzushia balaa la ebola.
angepepesa macho wazee wa kazi wakaingiza vimelea tu kwa dakika chache, tungechafuka na kuzikana kama mizoga hadi awamu hii pengine na 3 zijazo zingeonja madhara yake.

kwa hili, hatuna budi kumpongeza mheshimiwa na watendaji wao kushikiria msimamo wao na kutoamini uvumi.

shida ya sisi ngozi nyeupe tumeshaaminishwa kuwa ngozi nyeupe wana mazuri tu na, kuwa bila wao kuweka mikono yao hakuna tunaloliweza.

kwa hili na mengi mengine; mzee Magufuli utakumbukwa sana, endeleza kusimamia na kutekeleza kile unachokiamini.

VIVA RAIS MAGUFULI!
VIVA TANZANIA!
AFRIKA TUJITAMBUE!

Mzee haikuwa uvumi kama hauna taarifa usifikiri hicho kitu hakipo,wizara ya Afya imepiga kambi mikoa ya pembezoni, kuna mambo mengi yanaendelea kama siyo level yako hayatakufikia.
 
Kwa hiyo ulitaka mzee baba akubali kuna Ebola ili waje waeneze nchi zima
Vita na wazungu TZ hatutoshi kujifanya sisi ni smart kuliko wao,MSAPOTINI TU HUYO JAMAA ILA MJUE TU KUWA ATAKAEUMIA ZAIDI NI SISI RAIA WA CHINI.
 
Mkoa gani na wamezikwa wangapi mpka sasa
Mzee haikuwa uvumi kama hauna taarifa usifikiri hicho kitu hakipo,wizara ya Afya imepiga kambi mikoa ya pembezoni, kuna mambo mengi yanaendelea kama siyo level yako hayatakufikia.
 
Kupewa mafunzo haimaanishi kuna ugonjwa hiyo tahadhari iwapo ugonjwa utatokea. Ikizingatiwa mikoa hiyo ipo katika hatari ya kuambukizwa that’s what I know
Ugonjwa huu upo ila nadhani zilikuwa case chache, madaktari,manesi na waudumu wa Afya wa mikoa ya pembezoni wamepewa Training/semina sana, pia kuna waudumu wa kujitolea Ngazi za jamii walipewa mafunzo namna ya kumtambua MTU mwenye dalili za Ebola, kuna Case chache zilijitokeza ila naomba niishie hapa,ila nazani lengo la serikali iliogopa kuzua taharuki,ila hii kitu ipo au ilijitoleza
 
Mzee haikuwa uvumi kama hauna taarifa usifikiri hicho kitu hakipo,wizara ya Afya imepiga kambi mikoa ya pembezoni, kuna mambo mengi yanaendelea kama siyo level yako hayatakufikia.
Acha uongo wewe taja hata mkoa mmoja tu wa pembeni ulio na Ebola endelea tu na ujinga wako watz wanajielewa!
 
Ugonjwa huu upo ila nadhani zilikuwa case chache, madaktari,manesi na waudumu wa Afya wa mikoa ya pembezoni wamepewa Training/semina sana, pia kuna waudumu wa kujitolea Ngazi za jamii walipewa mafunzo namna ya kumtambua MTU mwenye dalili za Ebola, kuna Case chache zilijitokeza ila naomba niishie hapa,ila nazani lengo la serikali iliogopa kuzua taharuki,ila hii kitu ipo au ilijitoleza
Acha uongo mkuu kwani watu kupewa training maana yake kuna ugonjwa? Basi tuambie ndugu yako aliyekuwa na Ebola ni nani?
 
Hapa ndo nliwaona hao jamaa hawana akil kwa kwel
Na wapinzani wakawa wanashabikia Taarfa za mabeberu

Ndio maana hata wakibinywa naona sawa tu
Yan unashabikia taifa lako kutangaziwa ugonjwa???

Ukiwahoji wanakwambia wao ugomv wao n na anko magu tu sio nchi

Sasa waulize n magu ando altangazwa kuwa ebola hadi wakawa wanashadadia au nchi yao, taifa lao?????
 
Wapinzani wengi hawajitambui, wanauwezo mdogo
Hapa ndo nliwaona hao jamaa hawana akil kwa kwelYan unashabikia taifa lako kutangaziwa ugonjwa???

Ukiwahoji wanakwambia wao ugomv wao n na anko magu tu sio nchi

Sasa waulize n magu ando altangazwa kuwa ebola hadi wakawa wanashadadia au nchi yao, taifa lao?????
 
Mzee haikuwa uvumi kama hauna taarifa usifikiri hicho kitu hakipo,wizara ya Afya imepiga kambi mikoa ya pembezoni, kuna mambo mengi yanaendelea kama siyo level yako hayatakufikia.
Mkuu walisema ebola iko dar!!
 
Nadhani swali la msingi ulitakiwa uulize... Zile trillion 400+ tulizo ambiwa tunawadai mabeberu wa makinikia ziliishia wapi?

Alafu uulize tena hivi vile viwanda 4000 tuliambiwa vimejengwa viko wapi?

Sema kwa sababu unaakili ndogo umeishia kuuliza maswali ya kijinga.
Mbona na wewe ulituliambia utaoa mwaka jana ..mke yuko wap?
 
Vita na wazungu TZ hatutoshi kujifanya sisi ni smart kuliko wao,MSAPOTINI TU HUYO JAMAA ILA MJUE TU KUWA ATAKAEUMIA ZAIDI NI SISI RAIA WA CHINI.
kwahyo unataka kutuaminisha kuw wazungu wapo sahihi kwamba Tz kuna ebola......ebuu acha uk.....mkuu
 
Back
Top Bottom