Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
We unajua kwa nini walitoa press release ya kutahdharisha raia wao kuwa kuna sadikika kuna ugonjwa wa ebola? Tatizo kubwa ni kuwa kuna mfonjwa alifuchwa hadi kufa akiwa na dalili baadhi ya Ebola wazungu kupitia WHO wakaomba waufanyie uchunguzi mwili wakakataliwa ndipo wakaona isiwe tabu wakaanza kuwatahadharisha raia wao maana ishu kama ya ebola sio vizuri kuipeleka kisiasa.
Kwa hiyo ulitaka mzee baba akubali kuna Ebola ili waje waeneze nchi zima