Kwa hiyo ulitaka mzee baba akubali kuna Ebola ili waje waeneze nchi zima
kwahyo unataka kutuaminisha kuw wazungu wapo sahihi kwamba Tz kuna ebola......ebuu acha uk.....mkuu
Sorry kiongozi inatakiwa kuwe na sample ngapi Ili WHO wapelekewe na kuthibitisha kwambaa kuna EBOLA?We unajua kwa nini walitoa press release ya kutahdharisha raia wao kuwa kuna sadikika kuna ugonjwa wa ebola? Tatizo kubwa ni kuwa kuna mfonjwa alifuchwa hadi kufa akiwa na dalili baadhi ya Ebola wazungu kupitia WHO wakaomba waufanyie uchunguzi mwili wakakataliwa ndipo wakaona isiwe tabu wakaanza kuwatahadharisha raia wao maana ishu kama ya ebola sio vizuri kuipeleka kisiasa.
Sorry kiongozi inatakiwa kuwe na sample ngapi Ili WHO wapelekewe na kuthibitisha kwambaa kuna EBOLA?
au hata kukiwa na mgonjwa mmoja tu inatosha?
Kwanini WHO Walikua wanang'ang'ania kuvunja taratibu ambazo ziko wazi Kabisa?
Huoni ni Kama kulikua na nia nyingine nyuma ya pazia?
Nice, are you a doc. Naweza jongea kwa PM yako MadameBiological warfare i guess... mzee mkubwa kuna games anazimaster sana. Heko....
Nice, are you a doc. Naweza jongea kwa PM yako Madame
mmh basi masomo ya sayansi yalikupenda sana, sema tu hukutaka kuyapa kipaumbele. Hakika nitakuwa mwenye bahati, Pm yangu ipo wazi muda wote. KaribuHata masomo ya sayansi niliishia kuyasoma form two mkuu, nikiwa na mood nzuri utakuwa ME wa kwanza kukuPM JF, worry off.