Hivi Uhuru hakomi kujipendekeza kwa Magufuli

Hivi Uhuru hakomi kujipendekeza kwa Magufuli

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Dah aisee sijawahi kuona mtu king'ang'anizi kama huyu uhuru, yaani pamoja na minyuko yote lakini bado hakomi kumzoea Magufuli

Hivi wakenya mbona hamuwezi kujitegemea, hamjitoshelezi kabisa, Rais wenu angeweza tu kuendelea na mishe zake bila kumuomba Magu ushauri, ona sasa Magu kaumwaga mchele wote mbele za kuku.

Ooh kuna nchi wanakufa kimya kimya ila kutokana na restricted media space hamsikii, Kenya ina uhuru wa maoni, kiko wapi?

They will drop like flies, kiko wapi?

Magufuli uses Kinjekitile approach to deal with science, kiko wapi?

They will end with premium tears, kiko wapi?

They are treating Corona normally, it will treat them abnormally, kiko wapi?

 
Wakenya kwa Tanzania hawapinduiiii Kwanza walio wengi wanatamani wangekujaishi Tanzania. Wachache waliochanganyikiwa hawajui la kufanya ndio kutwaaa wamo humu kuchokonoa chokonoa mambo! Povu ruksaaaaa nitawachambisha na sabuni ya magadi
 
Magu kasema "ameamua"
Kwhyo huo ni uamuzi wake mwnywe
Uamuzi wa nini? Yaani Uhuru akiona Marais wanatiririka Tanzania nae anataka aje 😅😅😅

Ameona ndani ya week 2 M7, Ndaishimiye, Chakwera wamekuja akaona naye aombe mualiko 😅😅😅

Ikabidi Magu ajipe campaign ya dharura sababu hii campaign ya Dar katangaza jana jioni baada ya uhuru kumpigia 😁😁😁
 
Magu kasema "ameamua"
Kwhyo huo ni uamuzi wake mwnywe

Uhuru anaepa hili gundu kule WTO, Amina chalii... halafu kabakisha mwaka na nusu atoke! Kule Mwanza kuna Raila Odinga road, Dar kuna Chakwera pale state of the art Dar Bus Terminal wakati kule Kigoma kuna Ndayishimiye mahkama ya kanda! Wakati TPA headquarter kuna jina la Joseph Kabila, Kibaki nae ana barabara yake!

Usisahau majina ya Museveni kwenye his mega brainchild project na schools all over the country! Lazma ajihisihisi, kumbuka alikuja bila kukaribishwa akapewa tausi aende kufuga halafu awarudishe kama assignment! Roho inamuuma jina litapotea akitoka Urais na wale tausi wana market Tanzania Kenya! Akija Bongo JPM asisahau ampe picha ya Mt Kilimanjaro akaibandike Ikulu!

Nina uhakika pipeline ya Dar-Mombasa litajengwa! aanakuja ku-sign MOU joto la jiwe na Tony254 njooni huku...!














 
Uamuzi wa nini? Yaani Uhuru akiona Marais wanatiririka Tanzania nae anataka aje [emoji28][emoji28][emoji28]

Ameona ndani ya week 2 M7, Ndaishimiye, Chakwera wamekuja akaona naye aombe mualiko [emoji28][emoji28][emoji28]

Ikabidi Magu ajipe campaign ya dharura sababu hii campaign ya Dar katangaza jana jioni baada ya uhuru kumpigia [emoji16][emoji16][emoji16]
Kasema nimeongea na uhuru wala hakuna mahali pameandikwa amenipigia
 
Uhuru anaepa hili gundu kule WTO, Amina chalii... halafu kabakisha mwaka na nusu atoke! Kule Mwanza kuna Raila Odinga road, Dar kuna Chakwera pale state of the art Dar Bus Terminal wakati kule Kigoma kuna Ndayishimiye mahkama ya kanda! Wakati TPA headquarter kuna jina la Joseph Kabila! Usisahau majina ya Museveni kwenye his mega brainchild project na schools all over the country! lazma ajihisihisi alikuja akapewa tausi aende kufuga roho inamuuma jina litapotea akitoka Urais na wale tausi wana market Tanzania Kenya! Akija Bongo JPM asisahau ampe picha ya Mt Kilimanjaro akaibandike Ikulu!

Nina uhakika pipeline ya Dar-Mombasa itajengwa! joto la jiwe njoo huku...!
Assumptions za kitoto hzo
 
Assumptions za kitoto hzo

Hii ni assumption juu ya uwezo wako wa kung'amua, its called total high carrot for carrot diplomacy! Baada ya KQ kunyukwa ban ya miezi miwili Uhuru kawa mwepesiii kama unyoya anakuja amechutama baada ya kujishtukia yu-uchiii wa mnyama!
 
Video ipo, kasema amepigiwa simu na uhuru.
Hivi Kwa akili ya kawaida tu Magufuli anawezaje kunyanyua cm kumpigia Uhuru eti fanya maombi , mazungumzo yeyote Kati ya Kenya na TANZANIA bc ujue Kenya ndie alipiga tu maana uongozi wote wa TANZANIA umeipa kisogo serikali ya kenya
 
Hao ni mashemeji zetu.
Ila wameamua kurudi kwa MUNGU ni Jambo jema
 
Dah aisee sijawahi kuona mtu king'ang'anizi kama huyu uhuru, yaani pamoja na minyuko yote lakini bado hakomi kumzoea Magufuli

Hivi wakenya mbona hamuwezi kujitegemea, hamjitoshelezi kabisa, Rais wenu angeweza tu kuendelea na mishe zake bila kumuomba Magu ushauri, ona sasa Magu kaumwaga mchele wote mbele za kuku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


Ooh kuna nchi wanakufa kimya kimya ila kutokana na restricted media space hamsikii, Kenya ina uhuru wa maoni, kiko wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

They will drop like flies, kiko wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

Magufuli uses Kinjekitile approach to deal with science, kiko wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

They will end with premium tears, kiko wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

They are treating Corona normally, it will treat them abnormally, kiko wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

Kwa chuki zako lazima ukonde wewe mama Tundu.
 
Dah aisee sijawahi kuona mtu king'ang'anizi kama huyu uhuru, yaani pamoja na minyuko yote lakini bado hakomi kumzoea Magufuli

Hivi wakenya mbona hamuwezi kujitegemea, hamjitoshelezi kabisa, Rais wenu angeweza tu kuendelea na mishe zake bila kumuomba Magu ushauri, ona sasa Magu kaumwaga mchele wote mbele za kuku 😅😅😅😅


Ooh kuna nchi wanakufa kimya kimya ila kutokana na restricted media space hamsikii, Kenya ina uhuru wa maoni, kiko wapi? 😅😅😅

They will drop like flies, kiko wapi? 😅😅😅

Magufuli uses Kinjekitile approach to deal with science, kiko wapi? 😅😅😅

They will end with premium tears, kiko wapi? 😅😅😅

They are treating Corona normally, it will treat them abnormally, kiko wapi? 😅😅😅


Mtoa mada tambua ata china pqmoja na uhasama walio nao lkn bado kuna vitu sensitive wana shirikiana. Kama mchwa therefore don'get surprised na mazungumzo yao .
 
majirani wakuda ndivyo walivyo acha alambe matapishi yake
 
Uamuzi wa nini? Yaani Uhuru akiona Marais wanatiririka Tanzania nae anataka aje 😅😅😅

Ameona ndani ya week 2 M7, Ndaishimiye, Chakwera wamekuja akaona naye aombe mualiko 😅😅😅

Ikabidi Magu ajipe campaign ya dharura sababu hii campaign ya Dar katangaza jana jioni baada ya uhuru kumpigia 😁😁😁
So Uganda,burundi na Malawi izo pia ni nchi!!!
LDCs tupuuuuuuu
 
Back
Top Bottom