Hivi Uhuru hakomi kujipendekeza kwa Magufuli

Hivi Uhuru hakomi kujipendekeza kwa Magufuli

Eeee kawaida yake hyo, kila wakati akiongea na simu na wenzake husema amepigiwa..
Huku wenzake hata wakiongea nae huaga hawaongei haswa hzo ishu za kwamba wameongea na jiwe katika misafara yao
Kama anasema uwongo, mbona hao marais huwa hawakanushi kauli yake?
 
Sasa kama Nyerere alikuwa anaketi na kuzungumza na babake rais Uhuru Kenyatta, huyu Yesu wa Chato atakuwa ndio nani ajione keki wakati kiuhalisia yeye ni kama tu mihogo, tena ya sumu? [emoji1]

Nyerere alimnunulia gari la kwanza Jomo Land Rover ya kwanza ya KANU na alimlipia wakili kumtetea alipowekwa gerezani Kapenguria!
 
Sasa kama Nyerere alikuwa anaketi na kuzungumza na babake rais Uhuru Kenyatta, huyu Yesu wa Chato atakuwa ndio nani ajione keki wakati kiuhalisia yeye ni kama tu mihogo, tena ya sumu? [emoji1]

Huyu wa sasa ana boldness na ku-face unafki at its horns!
 
Nyerere alimnunulia gari la kwanza Jomo Land Rover ya kwanza ya KANU na alimlipia wakili kumtetea alipowekwa gerezani Kapenguria!
Hizi ndio hadithi ambazo mlikuwa mnapigiwa mkiota moto kwenye vijiji vyenu vya ujamaa? [emoji1]
Gari ya kwanza ya Mzee Jomo ilikuwa ni Rolls Royce sio Land Rover, nambari za usajili KHA(Kenyatta Home Again). Zawadi kwake alipotoka gerezani, kutoka kwa Henry Kiboiwo, Salim Amin(mwanaye Mohamed Amin) na Daniel Arap Moi. Usidhani hatujui historia ya nchi yetu. What Mzee Kenyatta's KHA number plate on first car meant
 
Nyerere alimnunulia gari la kwanza Jomo Land Rover ya kwanza ya KANU na alimlipia wakili kumtetea alipowekwa gerezani Kapenguria!
Chama cha KAU(Kenya African Union) kililipia mawakili, sio mmoja tu, wa kuwatetea Jomo Kenyatta na wenzake(Kapenguria Six) walipokamatwa. Mawakili kutoka Kenya A.R. Kapila, Chunilal Madan, Fitz De Souza, Jaswant Singh na H.O. Davis kutoka Nigeria, Chaman Lall(India) na Dennis Pritt(London). My dogged struggle to free Kenyatta and the Kapenguria Six from jail
 
Back
Top Bottom