kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Inataka kuzoeleka kwamba kuna aina nyingine ya mpira unaitwa "pira gwaride"
Aina hii ya mpira mchezaji anaruhusiwa kucheza hata mieleka na akaendelea kulaumu akiadhibiwa.
Katika mechi za Simba na Prison kuanzia mechi ya awali,wachezaji wamekuwa wakichezewa faulo mbaya katika penalty box zaidi ya mara moja.Mfano mzuri ni jinsi Shomari Kapombe alivyovyutwa wazi wazi. Lengo si kutaka magoli ya penalty,lakini inabidi kwa afya ya mpira wa nchi hii,michezo ya kihuni kama hii,ikemewe hasa waamuzi wanaposhindwa kuchukua hatua.
Vinginevyo unaweza kudhani wachezaji hao wa Prisons wanajua kukaba,kumbe una watu wanaocheza mpira kigaidi ambao katika zile sheria na kanuni halali za mpira,hawawezi kusajiliwa kabisa.
Maana sio skills zinazotumika bali ubabe ambao hata ukimuingiza ndani komandoo yeyeote wa jeshi hata kama hajawahi kucheza mpira,ataonekana anajua kwa mujibu wa "pira gwaride"