Hivi ukicheza soka na timu za majeshi sheria na kanuni za mpira huwa zinaachwa kando?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Inataka kuzoeleka kwamba kuna aina nyingine ya mpira unaitwa "pira gwaride"

Aina hii ya mpira mchezaji anaruhusiwa kucheza hata mieleka na akaendelea kulaumu akiadhibiwa.

Katika mechi za Simba na Prison kuanzia mechi ya awali,wachezaji wamekuwa wakichezewa faulo mbaya katika penalty box zaidi ya mara moja.Mfano mzuri ni jinsi Shomari Kapombe alivyovyutwa wazi wazi. Lengo si kutaka magoli ya penalty,lakini inabidi kwa afya ya mpira wa nchi hii,michezo ya kihuni kama hii,ikemewe hasa waamuzi wanaposhindwa kuchukua hatua.

Vinginevyo unaweza kudhani wachezaji hao wa Prisons wanajua kukaba,kumbe una watu wanaocheza mpira kigaidi ambao katika zile sheria na kanuni halali za mpira,hawawezi kusajiliwa kabisa.

Maana sio skills zinazotumika bali ubabe ambao hata ukimuingiza ndani komandoo yeyeote wa jeshi hata kama hajawahi kucheza mpira,ataonekana anajua kwa mujibu wa "pira gwaride"
 
Mpira wa Tanzania ndivo ulivo

Simba walifanya ubabe

Prison walifanya ubabe

Tukiacha ushabiki akina wawa pia ilikuwa ubabe sana
 
Ndio maana mpira wetu utabaki huu huu wa kijinga kijinga,watu wanezoea ndondo,kwa hiyo wanashangilia ubabe badala ya mbinu za kimpira.

Si ajabu timu kama hizi zikiamua kucheza hivi mechi zote zikachukua hata ubingwa,ila wakienda nje,waamuzi wanaofuta sheria,hawawezi kufika popote.

Hata hakuna timu ya maana itahitaji mcheza mieleka na imtegemee awape matokeo
 
Inataka kuzoeleka kwamba kuna aina nyingine ya mpira unaitwa "pira gwaride"

Aina hii ya mpira mchezaji anaruhusiwa kucheza hata mieleka na akaendelea kulaumu akiadhibiwa.

Katika mechi za Simba na Prison kuanzia mechi ya awali,wachezaji wamekuwa wakichezewa faulo mbaya katika penalty box zaidi ya mara moja.Mfano mzuri ni jinsi Shomari Kapombe alivyovyutwa wazi wazi. Lengo si kutaka magoli ya penalty,lakini inabidi kwa afya ya mpira wa nchi hii,michezo ya kihuni kama hii,ikemewe hasa waamuzi wanaposhindwa kuchukua hatua.

Vinginevyo unaweza kudhani wachezaji hao wa Prisons wanajua kukaba,kumbe una watu wanaocheza mpira kigaidi ambao katika zile sheria na kanuni halali za mpira,hawawezi kusajiliwa kabisa.

Maana sio skills zinazotumika bali ubabe ambao hata ukimuingiza ndani komandoo yeyeote wa jeshi hata kama hajawahi kucheza mpira,ataonekana anajua kwa mujibu wa "pira gwaride"
tatizo lenu mnaiona Simba Kama real Madrid kumbe hamna lolote,nyinyi mnatakiwa mchezewe kikatili Kama vile na mpira wenu wa madoido,ikiwezekana kuvunja hata mtu mguu.mnamaneno machafu sana.mnachoona aibu nakujidai kooote watu wapo pungufu na mmechemka.mkome.
 
Polisi walivyosawazisha walikuwa wametimia kweli Eymael hakukosea
 
Kwa nnavyowajua wanyakyusa wa mbeya.. pale prisons alilegeza... Na kadi nyekundu iliwamaliza mapema, la sivyo uangetokea yale ya mzunguko wa kwanza kwa mtu mzima kulala mapema

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
pale prison hakucheza vile tunavyo ijua,hata ivyo nakwambia vijana wa Simba lazima kwenye mapaja Wana vidonda,na leo nisiku ya kukandwa na maji ya moto,
 
hatupo huko,wewe unadhan kila mtu ni yanga ,duh,unachekesha
....jamaa akilala, akiamka anaweweseka tuuu kwa kuiwaza Yanga. Ndo maana hata yule mropokaji wao hakuna press conference ataifanya bila kuitaja Yanga, shubaaaaamit
 
Wewe unaongoza ligi ila presha kama lote
 
tatizo lenu mnaiona Simba Kama real Madrid kumbe hamna lolote,nyinyi mnatakiwa mchezewe kikatili Kama vile na mpira wenu wa madoido,ikiwezekana kuvunja hata mtu mguu.mnamaneno machafu sana.mnachoona aibu nakujidai kooote watu wapo pungufu na mmechemka.mkome.
Bwaaaaabwa wewe.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom