Dully alivyomshirikisha Harmonize kampa kiki Harmonize?Mziki ni Biashara ndugu,inategemea na msanii na msanii,kuna wengine lazima uwalipe ili ufanye nao collabo espially wasanii wakubwa,ila hawa wasanii wadogo wakiombwa kufanya collabo na wasanii wakubwa mara nyingi ni bure maana wanapewa kiki.
We jamaa wewe sometime nakuelewa sometime sikuelewi kabisaNataka kufanya colabo na Marehemu Bob Marley, Lucky Dube na Michael Jackson
Kutokueleweka na kueleweka ndio tafsiri rasmi ya jina BujibujiWe jamaa wewe sometime nakuelewa sometime sikuelewi kabisa
Mifano yako haiingii akilini kabisa,kuna collabo na kuungana:e.g. wimbo wa Dilemma ni wa nelly pia ni wa kelly wote wana haki miliki wa huo wimbo royalties wanapata wote.Dully alivyomshirikisha Harmonize kampa kiki Harmonize?
Lil Wayne alivyomshirikisha Big Sean kampa kiki Big Sean?
P S quare walivyomshiriksha Don Jazzy walimlipa?
Ali Kiba alivyomshirikisha Lady Jaydee alimlipa?
Collabo hua hawalipani ila ugumu huja kupata muda ambao utakua convenient kwa pande zote mbili, utakuta wewe unataka collabo mwenzako yupo katika ziara.
Collabo ambayo wasanii hulipana ni ile mnatoa albam pamoja na zote mnaimba wote mfano Jay Z na Kanye West, Lil Wayne na 2 Chainz, Jay Z na R Kelly n.k.
Kiongozi naona umehama kabisa.Mifano yako haiingii akilini kabisa,kuna collabo na kuungana:e.g. wimbo wa Dilemma ni wa nelly pia ni wa kelly wote wana haki miliki wa huo wimbo royalties wanapata wote.
Unfinished Bizness na The Best of both world zinamilikiwa na wote Rkelly na Jay Z .
Mifano hiyo hapo juu hakuna kulipana.
Kama msanii A amemuomba amshirikishe msanii B na wimbo ukawa Mali ya Msanii A hapo lazima makubaliano ya malipo yawepo au msanii B aamue kwa utashi wake wa kufanya bure.
Wimbo wa Dully na Harmonise WCB walilipia kila kitu dully huyo unaosema wimbo wake hajatoa hata 100, to me dully kufanya kazi na Harmonise ni kweli Harmo kapata kiki.
Msome vizuri lil Wayne wasanii wa mbele kufanya nao collabo unawalipa ,nakumbuka diamond alishafafanua kuhusu collabo na kina Jay-Z na alisema kufanya nao ni mpunga wako tu ila lazima uattach nyimbo zako YouTube waone potential yako kwanza sio una view 400 unataka kufanya collabo hovyo hovyo.
Issue inayozungumziwa ni collabo na kulipana,sijahama sehemu yeyote nipo ndani ya wigo.Kiongozi naona umehama kabisa.
Mimi nimeuliza ikiwa Dully kampa kiki Harmonize, ukajibu juu ya Dully kutotoa pesa katika ule wimbo.Issue inayozungumziwa ni collabo na kulipana,sijahama sehemu yeyote nipo ndani ya wigo.
ina maana ukitaka kumpa colabo msanii yoyote lazima umuandalie mistari??au mistari anakuja nayo kwa freestyleMimi nimeuliza ikiwa Dully kampa kiki Harmonize, ukajibu juu ya Dully kutotoa pesa katika ule wimbo.
Mwishoni ukasema Dully kampa kiki Harmonize.
Mifano niliyotoa umesema haiingii akilini, lakini nimejaribu kubalansi kuonesha wasanii wakubwa wakiwa wamewashirikisha wakubwa wenzao bila malipo, na wasanii wakubwa waliofanya collabo na wasanii wadogo ambao wapo on fire, hivyo kiukweli hapo msanii mkubwa ndiyo anasaka kiki siyo kama wewe unavyosema.
Umezungumzia ishu za royalty, mimi nikazungumzia collabo za albam ambazo wasanii wameshirikishana na mifano nikatoa.
Umesema Diamond kasema kolabo na msanii mkubwa unamlipa, lakini Diamond alishasema kua tangu aanze muziki hajawahi kulipwa au kulipisha mtu ili wafanye kolabo. Swala la kutaka kufanya kolabo na msanii potential hilo lipo wazi kwa kila msanii kutaka kufanya kazi na msanii ambaye atamjengea zaidi kuliko kubomoa.
Post yako mimi nimeona imehama haswa si kipolepole.
Hii inategemea, Nimeshasikia ripoti za msanii kumuandikia mistari anayetaka kufanya naye kolabo na au msanii mwenyewe kujiandikia baada ya kujua maudhui ya wimbo anaotakiwa kushirikishwa.ina maana ukitaka kumpa colabo msanii yoyote lazima umuandalie mistari??au mistari anakuja nayo kwa freestyle
Akili Za Bavichaa HiziNataka kufanya colabo na Marehemu Bob Marley, Lucky Dube na Michael Jackson