Hivi ukifanya colabo na msanii unamlipa?

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
wadau
habari.
hii kitu huwa najiuliza sipati jibu

hivi utaratibu gani hufanyika ili uweze kufanya colabo na msanii?
mfano diamond au kiba anaweza kufanya colabo na jayz mfano,jay z ni msanii mkubwa sana je utaratibu upi hufanyika?je ukishirikisha msanii colabo unamlipa?maana hadi kwenye video utakuta anatokea ukizingatia kuna wasanii wakubwa wanaenda na muda hivyo kumshirikisha lazima kuna kitu anapata kufidia muda wake
 
Mziki ni Biashara ndugu,inategemea na msanii na msanii,kuna wengine lazima uwalipe ili ufanye nao collabo espially wasanii wakubwa,ila hawa wasanii wadogo wakiombwa kufanya collabo na wasanii wakubwa mara nyingi ni bure maana wanapewa kiki.
 
Dully alivyomshirikisha Harmonize kampa kiki Harmonize?

Lil Wayne alivyomshirikisha Big Sean kampa kiki Big Sean?

P S quare walivyomshiriksha Don Jazzy walimlipa?

Ali Kiba alivyomshirikisha Lady Jaydee alimlipa?

Collabo hua hawalipani ila ugumu huja kupata muda ambao utakua convenient kwa pande zote mbili, utakuta wewe unataka collabo mwenzako yupo katika ziara.

Collabo ambayo wasanii hulipana ni ile mnatoa albam pamoja na zote mnaimba wote mfano Jay Z na Kanye West, Lil Wayne na 2 Chainz, Jay Z na R Kelly n.k.
 
Inategemea kama wewe sio msanii yeye ndio msanii jiandae kumlipa ila kama wote ni wasanii wa level moja huwezi kumlipa japo utachangia baadhi ya gharama kama vile mavazi na mafuta ya gari kwenda location
 
Dully alivyomshirikisha Harmonize kampa kiki Harmonize?

Lil Wayne alivyomshirikisha Big Sean kampa kiki Big Sean?

P S quare walivyomshiriksha Don Jazzy walimlipa?

Ali Kiba alivyomshirikisha Lady Jaydee alimlipa?

Collabo hua hawalipani ila ugumu huja kupata muda ambao utakua convenient kwa pande zote mbili, utakuta wewe unataka collabo mwenzako yupo katika ziara.

Collabo ambayo wasanii hulipana ni ile mnatoa albam pamoja na zote mnaimba wote mfano Jay Z na Kanye West, Lil Wayne na 2 Chainz, Jay Z na R Kelly n.k.
Mifano yako haiingii akilini kabisa,kuna collabo na kuungana:e.g. wimbo wa Dilemma ni wa nelly pia ni wa kelly wote wana haki miliki wa huo wimbo royalties wanapata wote.

Unfinished Bizness na The Best of both world zinamilikiwa na wote Rkelly na Jay Z .

Mifano hiyo hapo juu hakuna kulipana.

Kama msanii A amemuomba amshirikishe msanii B na wimbo ukawa Mali ya Msanii A hapo lazima makubaliano ya malipo yawepo au msanii B aamue kwa utashi wake wa kufanya bure.

Wimbo wa Dully na Harmonise WCB walilipia kila kitu dully huyo unaosema wimbo wake hajatoa hata 100, to me dully kufanya kazi na Harmonise ni kweli Harmo kapata kiki.

Msome vizuri lil Wayne wasanii wa mbele kufanya nao collabo unawalipa ,nakumbuka diamond alishafafanua kuhusu collabo na kina Jay-Z na alisema kufanya nao ni mpunga wako tu ila lazima uattach nyimbo zako YouTube waone potential yako kwanza sio una view 400 unataka kufanya collabo hovyo hovyo.
 
Kiongozi naona umehama kabisa.
 
Issue inayozungumziwa ni collabo na kulipana,sijahama sehemu yeyote nipo ndani ya wigo.
Mimi nimeuliza ikiwa Dully kampa kiki Harmonize, ukajibu juu ya Dully kutotoa pesa katika ule wimbo.
Mwishoni ukasema Dully kampa kiki Harmonize.

Mifano niliyotoa umesema haiingii akilini, lakini nimejaribu kubalansi kuonesha wasanii wakubwa wakiwa wamewashirikisha wakubwa wenzao bila malipo, na wasanii wakubwa waliofanya collabo na wasanii wadogo ambao wapo on fire, hivyo kiukweli hapo msanii mkubwa ndiyo anasaka kiki siyo kama wewe unavyosema.

Umezungumzia ishu za royalty, mimi nikazungumzia collabo za albam ambazo wasanii wameshirikishana na mifano nikatoa.

Umesema Diamond kasema kolabo na msanii mkubwa unamlipa, lakini Diamond alishasema kua tangu aanze muziki hajawahi kulipwa au kulipisha mtu ili wafanye kolabo. Swala la kutaka kufanya kolabo na msanii potential hilo lipo wazi kwa kila msanii kutaka kufanya kazi na msanii ambaye atamjengea zaidi kuliko kubomoa.

Post yako mimi nimeona imehama haswa si kipolepole.
 
ina maana ukitaka kumpa colabo msanii yoyote lazima umuandalie mistari??au mistari anakuja nayo kwa freestyle
 
Hii inategemea, Nimeshasikia ripoti za msanii kumuandikia mistari anayetaka kufanya naye kolabo na au msanii mwenyewe kujiandikia baada ya kujua maudhui ya wimbo anaotakiwa kushirikishwa.
 
Hapa watu wanachanganya collabo na feat, collabo = collaboration na feat = featuring, ambapo collabo ni kufanya kitu kwa pamoja na featuring ni kushirikisha.
Featuring/kushirikisha = ni wewe unamualika mwenzako kufanya kitu chako,sasa itategemea na unayemualika anatakaje.
Collaboration ni nyinyi mnakubaliana kufanya kitu kwa pamoja na iko kitu kinawahusu wote. HIVYO NDIVYO NINAVYOJUA MIMI.
 
Back
Top Bottom