nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Madai ni nini?sio madai unapotosha mkuu hiyo ni jinai,umefanya vitendo vya umalaya tena na mume wamtu au mke wa mtu,sasa kesi yako mahakamani ikipangiwa na hakimu ambaye alisha wahi kuvunja ndoa yake kwa suala la fumanizi haswa mwanamke imekula kwako haiana cha maridhiano.
unapotosha,polisi hawa wezi kukuambieni mkafanye mapatano bila ya nyinyi wenyewe kuomba kufanya hivyo,
tena hii kesi inakuwa tamu kwelikweli hata wewe wakikupa unaiendesha maana hai hitaji elimu ya aina yoyote nikama umekamata mwizi na kithibitisho...
Maana pale vielelezo vyote vina kuwa wazi ,aliye fuma,aliyefumaniwa,aliye kuwa analiwa kifumanizi,mmiliki halali wa ile mali,ilatu usiombe mnafika mahakamani katika kujitetea mkeo akakukana huyu si mume wangu amenidhalilisha tu,kama kweli aonyeshe cheti cha ndoa ,utaiona dunia chungu .
Hapo wanasheria naona mnajiumauma pamoja na digrii zenu zooote!
Wanajamvi,
Naomba mwongozo hapa. Nimesoma mara kadhaa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii kuwa watu wamefumaniwa na wamepelekwa polisi kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka. Naomba niulize maswali yafuatayo;
1. nafunguliwa mashtaka kwa kosa lipi, wizi, unyang'anyi, udhalilishaji au ubakaji?
2. Sheria gani hua inatumika kutoa hukumu kwa mtu aliyefumaniwa na mke/mume wa mwenzake?
3. Kesi za namna hii huwekwa kwenye kundi lipi? Ni kesi ya jinai, madai au mauaji na zinginezo?
Msaada kwa waelewa wa mambo!
#MasaiWaKinyakyusa .
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hakuna kesi.zaidi polis wanawashauri kwenda serikali za mitaa kufanya mapatano.