Hivi Ukifumaniwa na mke au mume wa mtu, unashitakiwa kwa kosa gani?

Hivi Ukifumaniwa na mke au mume wa mtu, unashitakiwa kwa kosa gani?

sio madai unapotosha mkuu hiyo ni jinai,umefanya vitendo vya umalaya tena na mume wamtu au mke wa mtu,sasa kesi yako mahakamani ikipangiwa na hakimu ambaye alisha wahi kuvunja ndoa yake kwa suala la fumanizi haswa mwanamke imekula kwako haiana cha maridhiano.
Madai ni nini?
Anae enda kushtaki uwa anaomba mahakama imfanyie nini?
Adhabu ya mshtakiwa ni ipi?
 
unapotosha,polisi hawa wezi kukuambieni mkafanye mapatano bila ya nyinyi wenyewe kuomba kufanya hivyo,
tena hii kesi inakuwa tamu kwelikweli hata wewe wakikupa unaiendesha maana hai hitaji elimu ya aina yoyote nikama umekamata mwizi na kithibitisho...
Maana pale vielelezo vyote vina kuwa wazi ,aliye fuma,aliyefumaniwa,aliye kuwa analiwa kifumanizi,mmiliki halali wa ile mali,ilatu usiombe mnafika mahakamani katika kujitetea mkeo akakukana huyu si mume wangu amenidhalilisha tu,kama kweli aonyeshe cheti cha ndoa ,utaiona dunia chungu .

Unadhani kesi zote zingekuwa zinapelekwa mahakamni kungekalika?
 
Wanajamvi,

Naomba mwongozo hapa. Nimesoma mara kadhaa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii kuwa watu wamefumaniwa na wamepelekwa polisi kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka. Naomba niulize maswali yafuatayo;

1. nafunguliwa mashtaka kwa kosa lipi, wizi, unyang'anyi, udhalilishaji au ubakaji?
2. Sheria gani hua inatumika kutoa hukumu kwa mtu aliyefumaniwa na mke/mume wa mwenzake?

3. Kesi za namna hii huwekwa kwenye kundi lipi? Ni kesi ya jinai, madai au mauaji na zinginezo?

Msaada kwa waelewa wa mambo!

#MasaiWaKinyakyusa .

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hii yako mpya baba???
 
hakuna kesi.zaidi polis wanawashauri kwenda serikali za mitaa kufanya mapatano.

Kesi ipo ndugu yangu na alietoka huwa anashtakiwa kwa kosa la uzinzi..huwa anaeshtaki mara nyingi anaomba divorce ikifuatana na compensation
 
Kwenye dola ya kiislam kama hakuna aliyeoa wala kuolewa ni kuchapwa bakora 100 za nguvu bila huruma kama kuna ndoa baina yao ni kupigwa mawe mpaka kufa maaana ni uzinzi huo
 
hiyo ni kesi ya madai tu, fine is the most remedy....kama sijakosea ni kifungu cha 72 CAP 29 R.E 2002 haiwez funguliwa polisi kwani sio criminal case
 
Adultery....Ila ni vigumu xana kuthibitisha fumanizi...kama unaushaidi wa kutosha... Sheria ipo... Law of Marriage Act...
 
You sue for damages if any that has been suffered as a result of adultery. Ni madai sio jinai.
 
Ngoja nimpigie mwanasheria wangu anijuze then nirudi
 
Napendekeza muswada ya mabadiliko ya sheria ya ndoa ya mwaka 2002. Kwamba ni kosa la jinai kutembea na mke au mume wa mtu. Na ikithibitika hukumu ni miaka 3 jela.
 
Back
Top Bottom