Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Tatizo sio mdori tatizo anafanya nao nn!! Acha ushamba weweNimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Picha keshoPicha jinsi ulivyopeleka na ulivyomgegeda
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Acheni kuteteana nyie,jitu limebeba mdoli kiswaga kabisa kama wadada wanavyobebaga afu limevaa na hereni.
jibu toshamkuu mdori wa aina gani? na jamaa mazingira yake yakoje yakoje? anaweza akawa alikuwa anamperekea mwanae/mpenzi wake. huwezi jua.
Kamnunulia mtoto wake,au kwa kuwa wewe ni mwanaume zawadi kwa uwapendeo huwa hununui?Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Mnashangaza wewe na wengine.. hivi wangapi jana wamebeba vitu visivyo vya kiume kuwapepekea mama zao kama zawadi siku ya mama duniani jana? Unless eleza mazingira halisi ili tuione maana unayotaka kutuaminishaNimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Umeona hoja yako haina mashiko umeamua kuongezea na uongo?, mbona hukusema mwanzoni kwamba kavaa hereni?Acheni kuteteana nyie,jitu limebeba mdoli kiswaga kabisa kama wadada wanavyobebaga afu limevaa na hereni.
Ww ndiyo tukuulize unaushamba wa namna gan? Mbona kuwa na mdol kawaida labda anampelekea mwanaye au mpenz? Nyie ndiyo wale wanaume mnao Amin kunuka kwapa ndiyo uanaume.Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
[emoji25] [emoji25] hlo ndo tatizo sasa!!jamaa alikua kalibeba kipozi flani hvi za kidada.