Hivi ukikutana na dume zima limebeba mdoli unalielewaje?

Hivi ukikutana na dume zima limebeba mdoli unalielewaje?

umekutana nalo wapi? kama ni huko majuu ni kitu cha kawaida
 
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Tuanze na wale wanaojipodoa,kusuka nywele zao na kutoboa masikio kwanza
 
Ngoja muheshimiwa awaone atatoa tamko tushughulike nao
 
wewe mwepesi wa kumuhukumi mtu ok mbona wewe unatuma msg na kupokea kwa kidole gumba kwani wewe ni 076 number ya Jordan.

swissme
Heee!!
Mkuu hebu fafanua zaidi hapo kwenye dole gumba Na ule mtandao pendwa wa Jordan!
 
Heee!!
Mkuu hebu fafanua zaidi hapo kwenye dole gumba Na ule mtandao pendwa wa Jordan!
ndio mkuu ukipokea simu kwa kidole gumba au kuandika msg kwa kidole gumba wewe ni gasho yaani ni ishala ya kuwa wewe ni gy.


swissme
 
Acheni kuteteana nyie,jitu limebeba mdoli kiswaga kabisa kama wadada wanavyobebaga afu limevaa na hereni.
Hii mi naona kama fictitious kwa sababu hata mademu wenyewe ni vigumu umkute kabeba mdoli kwa ajili gani?It doesn't make sense!Labda kwenye gari kuna mshikaji namjua kwenye gari yake sio la mke wake amejaza midoli ndani chini ya kioo cha nyuma.
 
Uanaume wa vijana wa Dar unatia shaka sana....maana matendo yao yanawaweka mbali na uhalisia wa mwanamume........
 
Back
Top Bottom