Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Naona kuna raia wanasema umpeleke kituo cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini kitu ulichokitafuta miaka 10 yeye anachukua Kwa dakika 5 wezi wameshatuachia vilema vya kudumu ndugu zetu na hata sisi wenyewe hatujui yajayo tukikutana na hawa jamaa kwenye anga zao wanakuwa sio binadamu ni wanyama he mbona wao wanatetewa sana na watu humu mitandaoni inamaana mwizi akiua sawa ila akiuwawa yeye sio sawa