Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Ni muhimu sana kuwa waangalifu ndugu zangu, uovu mwingi umejificha kwenye wema siku hizi.Naona Kuna raia wanasema umpeleke kituo Cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini kitu ulichokitafuta miaka 10 yeye anachukua Kwa dakika 5 wezi wameshatuachia vilema vya kudumu ndugu zetu na hata sisi wenyewe hatujui yajayo tukikutana na hawa jamaa kwenye anga zao wanakuwa sio binadamu ni wanyama he mbona wao wanatetewa sana na watu humu mitandaoni inamaana mwizi akiua sawa ila akiuwawa yeye sio sawa
Inakuaje akikuchoma kisu mkuu utaendelea kumpa vifunguUnamuuliza kwa nini unaniibia, kisha unampa vifungu vya biblia kadhaa pamoja na vitu alivyotaka kukuibia, si unajua tena maandiko yanatuambia akikupiga la kushoto unamgeuIa na la kulia
Umechanganya mafailini muhimu sana kua waangalifu ndugu zangu, uovu mwingi umejificha kwenye wema siku hizi.
hata hivyo,
ni muhimu sana kuchapa kazi kwa bidii bila woga,wala dhana ya kuporwa chochote kichwani mwako, na utakua na amani sana ๐
Mpe chakula na pesa ya nauli na kitu alichokua anataka kuiba mpe kabisa aende nacho.Naona Kuna raia wanasema umpeleke kituo Cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini kitu ulichokitafuta miaka 10 yeye anachukua Kwa dakika 5 wezi wameshatuachia vilema vya kudumu ndugu zetu na hata sisi wenyewe hatujui yajayo tukikutana na hawa jamaa kwenye anga zao wanakuwa sio binadamu ni wanyama he mbona wao wanatetewa sana na watu humu mitandaoni inamaana mwizi akiua sawa ila akiuwawa yeye sio sawa
Kama wanawaua,na nyie wauweni tu, tatizo wakipelekwa mahakamani raia hawaendi kutoa ushaidi,mwisho wa siku mahakama inawachia huru wanarudi tena mtaani.Naona Kuna raia wanasema umpeleke kituo Cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini kitu ulichokitafuta miaka 10 yeye anachukua Kwa dakika 5 wezi wameshatuachia vilema vya kudumu ndugu zetu na hata sisi wenyewe hatujui yajayo tukikutana na hawa jamaa kwenye anga zao wanakuwa sio binadamu ni wanyama he mbona wao wanatetewa sana na watu humu mitandaoni inamaana mwizi akiua sawa ila akiuwawa yeye sio sawa
DuuhMpe chakula na pesa ya nauli na kitu alichokua anataka kuiba mpe kabisa aende nacho.
Wakati mwingine wema ni zaidi ya ukatili ๐ ๐ ๐ ๐ hata hicho chakula ataogopa kula ataomba umpige aondoke.Duuh
Angalia mazingira yanayoruhusu kufanya unachoweza kwa ajili ya kujilinda wewe mwenyewe, familia yako na mali zakoNaona Kuna raia wanasema umpeleke kituo Cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini kitu ulichokitafuta miaka 10 yeye anachukua Kwa dakika 5 wezi wameshatuachia vilema vya kudumu ndugu zetu na hata sisi wenyewe hatujui yajayo tukikutana na hawa jamaa kwenye anga zao wanakuwa sio binadamu ni wanyama he mbona wao wanatetewa sana na watu humu mitandaoni inamaana mwizi akiua sawa ila akiuwawa yeye sio sawa
Aisee kweliWakati mwingine wema ni zaidi ya ukatili ๐ ๐ ๐ ๐ hata hicho chakula ataogopa kula ataomba umpige aondoke.
Atahisi kina sumu ๐คชAisee kweli
Mvuvi kazi yake ni kumuua samaki, mfugaji kazi yake kumchinja ng'ombe wake vivyo hivyo mwizi kazi yake kumpora tajiri, zote hizo ni ajira na tunaishi kwa kutegemeana.Naona Kuna raia wanasema umpeleke kituo Cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini kitu ulichokitafuta miaka 10 yeye anachukua Kwa dakika 5 wezi wameshatuachia vilema vya kudumu ndugu zetu na hata sisi wenyewe hatujui yajayo tukikutana na hawa jamaa kwenye anga zao wanakuwa sio binadamu ni wanyama he mbona wao wanatetewa sana na watu humu mitandaoni inamaana mwizi akiua sawa ila akiuwawa yeye sio sawa
We kuweza๐Mpe chakula na pesa ya nauli na kitu alichokua anataka kuiba mpe kabisa aende nacho.
Hii pointMpe uji wa cement anywe
Akitaka kukuchoma unamuombea mkuu, mchape maombi na mkemeeInakuaje akikuchoma kisu mkuu utaendelea kumpa vifungu