Hivi UKIMWI bado upo kweli?

Hivi UKIMWI bado upo kweli?

Ukimwi upo ila hauna madhara makali kama zamani..

Siku hizi hepatitis ndio inaua sana wapenda mchezo mbaya
 
Ni vyuo vyote vipo hivyo mkuu.

Maadili yamepungua sana kwenye kizazi cha sasa na usiwalaumu kina Dada pekeyao kwa kuwa wapo pia wanaowaharibu.

Malezi mabovu ya familia yanapelekea kupata jamii ya kizazi kibovu kisha Taifa linakuwa la kizazi cha namna hiyo.

Sikuhizi mtoto kurudi nyumbani na Digree ya vyupi ishakuwa ni jambo la kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukimwi Kama Corona TU,
Wabongo hawana MDA nao, na wenyewe umeamua Kuishi kwa utulivu.
 
Back
Top Bottom