Hivi UKIMWI na Ebola, sio biological weapons?

kama tutasema ni mpango wa new worl order.... hawaoni kwamba silah walizo anza nazo zinaweza kuwauwa wenyewe . ?
then mbona HIV ipo kitambo na juhud kibao za kuutib zinafanyika...?
what im blvn wakiamua kuua ni. kitendo cha dk 3tu zinatosha.....

Collateral damage
 
Hapana, shida ni wewe ulikuwa allover the map, nami nilikuwa na focus na Africa, but its good umepata point yangu.
 
Mimi nadhani hii ni njia moja wapo ya New World Order inavyooperate na ni njia Moja ya kuimplement kuelekea kwenye kuisimamisha serikali moja.
Basind on Creating a Problem, reaction and solution; Hawa jamaa wanatengeneza tatizo mfano magonjwa, vikundi via Kigaidi au vikundi vyovyote vile ambavyo viko opposite na serikali ya nchi wanayotaka kuweka utawala wao aiming at creating a political instability then wanavisapoti hivyo vikundi na kwa Msaada wa media zao wanapromote ili kuwaaminisha watu Kuwa hizo serikali zimeshindwa kutatua tatizo na pasipo wao kuingilia kati either by military intervention au kupeleka msaada wa madaktari kwa mwamvuli wa umoja wa mataifa au nchi yoyote kubwa especially USA au Britain bila kuisahau France hali katika eneo husika haita tengamaa( reaction). Baada ya kuingia katika eneo husika wanatengeneza mazingira ya kuonesha Kuwa wanapata taabu na kutumia all resources in their disposals kueliminate Hilo tatizo no matter how long it will take, but at the end of the day wanafanikiwa kutatua hilo tatizo( Solution) na kumweka kiongozi wamtakaye kwaajili ya kulinda na kusimamia mipango Yao katika eneo husika.
tutapiga kelele na kubishana hapa ila hiyo ndiyo Hali halisi. Tujue kuwa New World Order imeshaanza kufanya kazi kuelekea kusimamisha serikali moja, pesa moja, bunge moja, gender equality an mengineyo mwisho kabisa kuitambulisha rasmi DINI moja dunia nzima( New Age Movement One World Religion).
Thanks
 
Na Neno la Mungu kutimia Kuwa "atatokea Anti Christ na Wengi watamfuata na kumwamini na kuwekwa Alama maalumu ya imwakilishayo huyo Beast wamuabudio. Na wale wote wasiokuwa na hiyo alama watapitia mateso makubwa na kuangamizwa kwa mkono wa Huyo mpinga Kristo. Ndipo mwanakondoo wa Mungu yaani Yesu Kristo atakaposhuka na hapo ndio utakuwa mwisho wa ulimwengu. Itachukua vizazi kwa vizazi hadi kufikia hiyo hatua so we better prepare ourselves for the final judgement because the world is at hand na roho itakapouacha mwili wako tu, jua kuwa there will be no time to repent rather than waiting for his coming kuwahukumu wazima na wafu. Thanks
 
kama tutasema ni mpango wa new worl order.... hawaoni kwamba silah walizo anza nazo zinaweza kuwauwa wenyewe . ?
then mbona HIV ipo kitambo na juhud kibao za kuutib zinafanyika...?
what im blvn wakiamua kuua ni. kitendo cha dk 3tu zinatosha.....
Mkuu lazima uaminishwe kuwa Hilo in janga na hata wao linawafikia though sio kwa extent kubwa kama eneo ambalo wamelitarget. Things have been planned for a long time ago and take place slowly by processes. Hivi wasipoonesha kuwa wao pia ni waathirika na haya majanga, watatuaminishije kuwa these things have not been created by themselves? Few must be sacrificed in order to success their plan
 
Mkuu naomba kutofautiana na wewe kuhusu swala la HIV,. Hivi huku Africa kusini mwa jangwa la sahara ndo tunafanya ngono isiyo salama kuliko eneo lingine lolote duniani? Hivi kwanini ukimwi usisambae katka mabara mengine? Hapa kuna kitu kinafichwa tu. Kuhusu utafiti juu ya ukimwi., sisi huku tunawategemea wazungu watuwezeshe kifedha. Sasa wakiona tunakaribia kugundua ukwrli unafikiri wataendelea kutupa misaada? Pia kwa maoni yangu swala la ukimwi lina maslahi na watu wa magharibi na kamwe hawataruhusu Africa ijue ukweli kuhusu ugonjwa huo, watabaki wao ndo wanafanya tafiti na kutuleta madawa na taarifa kuhusu ugonjwa huu
 


Sijafahamu exposure yako ikoje kuhusiana na hili bara, sio kila ngono inaleta maambukizi, ni style za ngono , kuna kauli mbiu inatumika hapa kwetu, ngono zembe na ngono salama, just to make point,

Hebu jiulize ushenzi unaofanyika jumlisha na population ya hapo dar, pamoja na mikoa mingine ya pwani, ungetegemea.maambukuzi makubwa yangekuwa mikoa hiyo, lakini takwimu zinasema maambukizi makubwa yapo mkoa wa njombe, fact ni kuwa hapo inawezekana dar watu wanafanya sana, ngono lakini salama and vice versa is also true.

Kama umewahi kufika Botswana, utakubaliana nami kuwa the further south you go the worse kwa maambukizi, ina tokana na ukweli kuwa watu wanafanya sana ngono zembe au ngono hatarishi .
 
Mkuu unataka kusema kwamba nchi za ulaya wao hawafanyi ngono ambayo sio salama? Je ni kwann nchi za kiafrika tu tena kusini mwa jangwa la sahara ziwe ndo zimeathirika zaidi?, we huona kama kuna kitu kimejificha nyuma ya huu ugonjwa?
 
Mkuu unataka kusema kwamba nchi za ulaya wao hawafanyi ngono ambayo sio salama? Je ni kwann nchi za kiafrika tu tena kusini mwa jangwa la sahara ziwe ndo zimeathirika zaidi?, we huona kama kuna kitu kimejificha nyuma ya huu ugonjwa?

Sijawahi kukaa wala kufika ulaya, siwezi kukusemea huko, lakini ka experience kangu ni kuwa Ukimwi . Unahusishwa na vitu vingi sana, kimojawapo ni umaskini, Rate ya mwathirika wa ukimwi kuambukiza watu katika developed countries ni ndogo kuliko developing countries,
Hujawahi kusikia wanafunzi wanafanya umalaya kwa ajili ya lunch?
 

In deed!
Baba angu ni dr mstaafu...
Sasa kuna mtu mmoja hivi ni dr kutoka hospital moja hivi hapahapa nchini (sitaji jina kwa sababu za kiusalama)huyu dr alikuwa anafanya utafiti kwa muda mrefu tu na inasemekana amegundua dawa ya ukimwi na alipojulikana tu na taarifa kufika serikalini walitaka kumpoteza!
Nilijiuliza maswali mengi, why?hivi si ndo Ilitakiwa atangazwe huyu shujaa?....
Bt hamuwezi amini maisha anayoishi mpaka leo ya mafichoni km sio mtanzania.....sasa kutokana na huu mjadala nimeanza kuelewa kitu
 
Wakuu embu naomba mpitie hii https://www.jamiiforums.com/jamii-i...t-charles-gallo-the-man-who-created-aids.html nadhani mtapata majibu ya maswali yenu.
Cc; mathewa, christine ibrahim
 

Mkuu nakupinga kama ifuatavyo, USA rafiki wake mkubwa ni mwarabu, kwanini?
Nchi za kiarabu ndio nchi tajiri zaidi duniani kutokana vyanzo vya mafuta. Mfano Qatar revenue yake ni kubwa kuliko expendature. Pia tunafahamu kwa ulimwengu wa sasa ukiwa na pesa unaweza kufanya almost everything, USA anachokifanya ni kuwapumbaza waarabu kwakuwaonesha pesa ni muhimu kuliko elimu ndio maana hawana maarifa yakujitawala. Marekani ana military base katika nchi nyingi za kiarabu na kuwapa protection na technology(nchi za kiarabu ni nchi zenye technology ya hali ya juu) in return wanachukua mafuta. Na ukiona nchi zenye vita ujue hawakubalian na propaganda za marekani. Kwakifupi marekani na waarabu wanategemeana.
 
............hata chanjo za juzi za rubela na mabusha nina wasiwasi nazo, (.......ofcourse wasiwasi ndo akili)
 
in fact,kwa wachangiaji mada wa apo awali wamecema vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…