DigitalEconomy
Member
- Mar 7, 2025
- 27
- 23
haujui mweusi ni nani?Mtu mweusi yukoje na mweupe yukoje tuanzie hapa
š¤£š¤£I luv itUchawa pia tumeuasisi sie na sasa tunaupeleka kwenye soko la kimataifa
Kuzalisha viongozi wabinafsi, wachoyo, mawakala wa wazungu na Waarabu rasilimali za nchi zao,Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
View attachment 3263022
Ulisimamia uchaguzi was serikali za mitaa wewe!!Kuchakata kura kwa kuzifanya ziongezeke bila ya kuwepo wapiga kura
Haahaa sasa izo zinazoongezeka wanazitoa wapiKuchakata kura kwa kuzifanya ziongezeke bila ya kuwepo wapiga kura
Hehehe1)Kumsugua mwanamke kinena kwa muda mrefu bila kuchoka
2)Ugunduzi wa vumbi la Kongo, puturu , kasongo na viksi vimeleta mapinduzi makubwa Sana kwenye uwanja wa Raha.......
Mungu ibariki Africa
HahahaNi kana kwamba uwe shoga halafu udhani kwamba kabila lenu wote mapunga.
Mungu hamnyimi mja wake, mtegemee Mungu kwa kila kitu utapewa zaidi na zaidi.Haahaa sasa izo zinazoongezeka wanazitoa wapi
hapa ndo unapofeli kiongoziMungu kwenye bara alitoa kitu unique ambach
Waliokuwa wakiishi Misri ya zamani walienda wapi baada ya hapoMisri ya zamani iliyofanya uvumbuzi wa vitu mbalimbali haikuwa ya waarabu, waarabu walivamia baadae wakatawala Misri na Afrika Kaskazini, na ndio mwisho wa umaarufu wa Misri kutumia akili.