Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

Kupaa na ungo.

Siku nikijua formula yake nitai patent na kujitangaza kama mvumbuzi nipige hela.
 
Ukiona mtu anasema "mtu mweusi hana akili" ujue huyo ajielewi.
Chakwanza watu weusi ndo wa kwanza kuchora sidhani kama Ulaya au Marekani kuna mapango yenye michoro.

Pia mtu mweusi ndiye aliyekuwa na uwezo wa kumzalisha mama kwanjia ya operation nenda Uganda ukajionee.

Pia ala za mziki zilianza kutengenezwa na mtu mweusi.

Tulifanya wonders nyingi nenda Ethiopia ukajionee ila wazungu na waarabu walitufunga akili zetu na kutufanya tujione inferior.
 
wamevumbua ndege charles page,helcopta,moto ,chumvi,ped za kina mama ,bulb n.k
 
Braza Kede unazingua😁nadhani Mungu kwenye bara alitoa kitu unique ambacho hakiko sehemu yoyote je kwa mfano wote dunia nzima tungekua matajiri ingekua vipi?
 
Misri ya zamani iliyofanya uvumbuzi wa vitu mbalimbali haikuwa ya waarabu, waarabu walivamia baadae wakatawala Misri na Afrika Kaskazini, na ndio mwisho wa umaarufu wa Misri kutumia akili.
Waliokuwa wakiishi Misri ya zamani walienda wapi baada ya hapo
 
Labda Ushirikina.

Kwenye Ngono bado tuko chini, Wazungu wanatuzidi mbali mno, Wameona kulana Ke & Me haitoshi wameanza na Me & Me, Kwahyo tunasafari ndefu sana kuwakuta kwenye hyo sector
 
Back
Top Bottom