Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
ukipewa bahasha na detail za kifo ?. sasa hiyo bahasha itakuwa wazi si ushasoma .subiri biliani leo ijumaa ujambe vizuriEti Wadau,
Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako
Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali
Utafungua????π€£π€£π€£π€£π€£
My take: Mie nitafungua jamani, I'm such a curious being. Nitafungua ili nijue lini naacha kazi nianze kula mafao yanguπ
Zile report forms za Shule tunaambiwa Usifungua hadi umpe Mzazi mie nafungua zangu nijue kuna kipigo au laaa sembuse tarehe ya kufa????
Nafunguaaaaaπ€£π
Haya karibuni mtoe maoni yenu
Usipoifungua utajuaje hizo details ?Eti Wadau,
Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako
Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali
Utafungua????π€£π€£π€£π€£π€£
My take: Mie nitafungua jamani, I'm such a curious being. Nitafungua ili nijue lini naacha kazi nianze kula mafao yanguπ
Zile report forms za Shule tunaambiwa Usifungua hadi umpe Mzazi mie nafungua zangu nijue kuna kipigo au laaa sembuse tarehe ya kufa????
Nafunguaaaaaπ€£π
Haya karibuni mtoe maoni yenu
Hahahahaha...umemjibu vzr kweliukipewa bahasha na detail za kifo ?. sasa hiyo bahasha itakuwa wazi si ushasoma .subiri biliani leo ijumaa ujambe vizuri
Amen. big AmenKwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi.Nafunguaaaaaa.
Amen kubwa mtumishi.Amen. big Amen
MamboNafungua ili nijue ni lini nitaachana na mzagamuo wa ba tamu.
Naogopa kufa, kwa kuacha mzagamuo, kila napokua mzagamuoni nikiwaza kufa, huwa inakataaa sanaa
Mzagamuo!!!!! [emoji91][emoji91]
ππππ Mwehu weeNafungua ili nijue ni lini nitaachana na mzagamuo wa ba tamu.
Naogopa kufa, kwa kuacha mzagamuo, kila napokua mzagamuoni nikiwaza kufa, huwa inakataaa sanaa
Mzagamuo!!!!! [emoji91][emoji91]
Poaaah!!!Mambo
Huwa unanifurahisha sana na chat zako..tatizo umefunga pmPoaaah!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu wallah nakuambiaa, hata niwe naumwa ntamuambia ba tamu tufanye taratibu bas je nikifa, si iwe umenipa ya kuagia..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwehu wee
Em sema kweliii, [emoji120]Huwa unanifurahisha sana na chat zako..tatizo umefunga pm
πππ Uduguu una ashki sana!![emoji23][emoji23][emoji23] uduguu wallah nakuambiaa, hata niwe naumwa ntamuambia ba tamu tufanye taratibu bas je nikifa, si iwe umenipa ya kuagia..
Aumwe yeye ntamuambia jikaze bas, lala nijipmiee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najitazamaga najisemeaga nalt za ubongo zimelegea.