Hivi, ukipewa bahasha yenye details za kifo chako utafungua?

Hivi, ukipewa bahasha yenye details za kifo chako utafungua?

Eti Wadau,

Ghafla paaap, bahasha hiyo hapo, huko ndani kuna karatasi yenye details zote za kifo chako

Mfano: Tarehe, Mwaka na Mahali

Utafungua????🤣🤣🤣🤣🤣

My take: Mie nitafungua jamani, I'm such a curious being. Nitafungua ili nijue lini naacha kazi nianze kula mafao yangu😭

Zile report forms za Shule tunaambiwa Usifungua hadi umpe Mzazi mie nafungua zangu nijue kuna kipigo au laaa sembuse tarehe ya kufa????

Nafunguaaaaa🤣👋

Haya karibuni mtoe maoni yenu
muda huo huo
 
Kwanza tujue,huyo atakayetupa hiyo bahasha ni nani? Na tutamuamini vipi kua hizo details ni za kweli?
 
Back
Top Bottom