Hivi, ukipewa bahasha yenye details za kifo chako utafungua?

[emoji23][emoji23][emoji23] Uduguu una ashki sana!!
Mi nikiumwa sitaki usumbufu kabisaa.!!
Tatizo kule kudeka kwangu ndio kunamtia genye muuguzaji mpk anaomba [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu hapo sikatai, kwenye mzagamuo bora nikose kulaa.
Nikiwaza kuna kufa, inakataa sanaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu hapo sikatai, kwenye mzagamuo bora nikose kulaa.
Nikiwaza kuna kufa, inakataa sanaa.
😂😂😂😂 Uduguu umenishinda
 
Nafungua ili nijue ni lini nitaachana na mzagamuo wa ba tamu.

Naogopa kufa, kwa kuacha mzagamuo, kila napokua mzagamuoni nikiwaza kufa, huwa inakataaa sanaa

Mzagamuo!!!!! [emoji91][emoji91]
Unapenda mchezo
 
Apostle Maboya:

^Mtu akikwambia leo lazima utakufa kwa ajali barabarani, wewe muulize tukio litakuwa saa ngapi. Akisema saa 4, wewe kaa ndani, usitoke. Ikifika saa 7 nenda uendako. Akamon!^ 😂😂😂
 
Nafungua tu. Wengine kifo ni sehemu ya maisha
 
Yaan nafunga mapemaa mnoo ! Nijue nakaa vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…