JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Habari wakuu,
Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa ya mwajiri ya kujiendeleza kimasomo?
Au unaweza kupiga kimya kimya tu haiana haja kama ya wale wanaoena Campus?
Ahsante