JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Samahani mkuu naomba nikuulize kitu,mi napenda kusoma bachelor of food nutrition and dietetics lakini open university wanataka GPA ya 3.5 kwa diploma holder....je kuna utaratibu wowote kwa mwenye diploma ya chini ya hapo kujiunga na kozi hiyo?Inategemea na course unayosoma na uwasilishwaji wake. Maana kuna course za e-learning ambazo ni za distance, na kuna blended mode ambazo ni distance learning na kuna wakati wa kuwa chuoni kufundishwa ( face to face) na ukizingatia vipindi ni vya muda mfululizo itakuwia ngumu kusoma bila taarifa maana itafikia kipindi utahesabika km mtoro kazini,
Ila kama ni course za 0del yaani online delivery na distance learning kipindi cha mitihani kwakuwa ni kipindi kifupi unaweza kausha bila taarifa na kipindi cha paper unaomba ruhusa kawaida tu.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Ulijiunga OUT?Samahani mkuu naomba nikuulize kitu,mi napenda kusoma bachelor of food nutrition and dietetics lakini open university wanataka GPA ya 3.5 kwa diploma holder....je kuna utaratibu wowote kwa mwenye diploma ya chini ya hapo kujiunga na kozi hiyo?
Hapana,nilishindw mkuu.Ulijiunga OUT?
Kama ni mwanafunzi unaweza kutembeleacenter iliyokaribu na weweMsaada wakuu, Naomba mwenye course outline ya foundation course open university anisaidie tafadhali.
Utasoma masomo matatu Physics, Chemistry na biology na masomo matatu ya lazima Ds,Cs na ictUkifanikiwa kujiunga na foundation , kwa koz ya food,foundation wanafundisha masomo gani
CBG Haiwezi kukubali?Utasoma masomo matatu Physics, Chemistry na biology na masomo matatu ya lazima Ds,Cs na ict
Yaani numeshasajiri CBG ,Ikigoma sasa balaaUtasoma masomo matatu Physics, Chemistry na biology na masomo matatu ya lazima Ds,Cs na ict