AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Najiuliza tu maana kama sisi watu wa nje tunaona RAIS WETU anachezewa. Wanamrai rai ilo wanufaike kupitia yeye, sio kwamba ni kweli wanampenda na kwamba yale wanayomsifia ni kweli yupo nayo.
Ina maana hajui hawa si kweli wanayosema juu yangu. Ni wananipaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa sababu kuna kitu wanataka kwangu. Hamna lolote.
Hili hata yeye alilishuhudia kwa mtangulizi wake Mzee magu. Na sasa imehamia upande wake.
Mimi ningekuwa Rais moja katika kigezo cha kukutumbua ni kunisifia sifia, nakufukuza kazi. Eleza kazi unayofanya, sio unisifie. Na siteui anayenisifia.
Je, Mama hajui hawa no machawa tu. Hili narefer niliposikiliza mara moja matokeo ya uchaguzi wao CCM DODOMA.
YAANI NI NYIMBO NA MAPAMBIO TU.