Yaani mwakani wasijitarajie kabisa.Halafu anadhani watakuwa hapo milele. Wasubiri ranking inayokuja baada ya UD Songo kuwaweka mahala pao.
Atabisha.Some hapo Sasa majibu yapo View attachment 1277859
Haji manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya miaka zaidi ya 15 ndo mnajimwambafai kwa kiasi hicho? Vipi TPMazembe au Vita wasemeje? Kujiona wakubwa ndio maana mnafukuza makocha ovyo ovyo huku mnaongoza ligi, maajabu ya Dunia aisee. Hv mnaelewa maana ya ukubwa wa club? Club inaendeshwa kwa majungu na fitina na bila weledi ukubwa wake uko wapi? Ni kweli Simba km ilivyo kwa Yanga ni miongoni mwa timu maarufu Africa mashariki na Afrika kwa ujumla lakn si kubwa kiivo. Kuna mengiiii sn ya kuendelea kujifunza ili kuufikia huo ukubwa wanaoutaja. Shida tunajidanganya sn, Ausems kaondoka kwa sababu ya uchanga wa club zetu ambazo hazitaki kujifunza miaka nenda rudi. Kwa staili hii mspobadilika Simba itarudi tena robo fainali baada ya miaka 15.
Nakuunga mkono,Simba imefanya upuuzi wa hali ya juu.
Si vizuri kuniita "Dada" mkuu hasa ukizingatia mimi ni MWANAUME,kingine me ni shabiki wa Simba,lakini kumfukuza kocha sioni ni sahihi,siruhusiwi kutoa maoni yangu?.Wadada wa Yanga kocha wa Simba alikuwa anawapa nini?Mbona mna vihere here sana?
Umemaliza. Case closed.Ukubwa wao upo kwenye umbumbumbu
Ukubwa jinga
Sisi hatuongelei hizo rankings tunajua maana yake.hahaha wakati huo nyinyi mtapanda kwa nafasi ngapi?
Ngoja niongeze sauti Mkuu. ππHaka katimu ka Kilomoni kanaendeshwa kiswahili Swahili sana
Swahiba umebadili Avatar kwani nimekujua hata. ππUkubwa wao upo kwenye umbumbumbu
Ukubwa jinga
Hahaha swahiba nami nimebadiliSwahiba umebadili Avatar kwani nimekujua hata. [emoji3][emoji3]
Some hapo Sasa majibu yapo View attachment 1277859
Hata huu uzi wako ungesubiri uandike hiyo mwakani maana kwa mwaka huu hauna vigezo vya kuiita simba timu ndogo.Ikifika mwakani uje uniambie mko namba ngapi napo.
Pia nikwambia tu kuwa vile sio vilabu vikubwa. Tujue kutofautisha hilo.
Timu kubwa Africa zipo kwenye nchi ambazo hata rankings za FIFA wapo juu. Tanzania tupo chini sana. Ni aibu kuzungumzia timu kubwa inayotolewa first round ya CAF Championship. Forget about ndondokela ya mara moja. Consistency is everything in football.Hata huu uzi wako ungesubiri uandike hiyo mwakani maana kwa mwaka huu hauna vigezo vya kuiita simba timu ndogo.