Hivi ukubwa Simba SC uko wapi?

Hivi ukubwa Simba SC uko wapi?

Timu bingwa
Timu inaongoza ligi
Kocha anafukuzwa nini malengo ya timu?
 
Mbona wapenzi wa Yanga imewauma sana kufukuzwa kocha wa Simba?
Haji manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya miaka zaidi ya 15 ndo mnajimwambafai kwa kiasi hicho? Vipi TPMazembe au Vita wasemeje? Kujiona wakubwa ndio maana mnafukuza makocha ovyo ovyo huku mnaongoza ligi, maajabu ya Dunia aisee. Hv mnaelewa maana ya ukubwa wa club? Club inaendeshwa kwa majungu na fitina na bila weledi ukubwa wake uko wapi? Ni kweli Simba km ilivyo kwa Yanga ni miongoni mwa timu maarufu Africa mashariki na Afrika kwa ujumla lakn si kubwa kiivo. Kuna mengiiii sn ya kuendelea kujifunza ili kuufikia huo ukubwa wanaoutaja. Shida tunajidanganya sn, Ausems kaondoka kwa sababu ya uchanga wa club zetu ambazo hazitaki kujifunza miaka nenda rudi. Kwa staili hii mspobadilika Simba itarudi tena robo fainali baada ya miaka 15.
 
Wadada wa Yanga kocha wa Simba alikuwa anawapa nini?Mbona mna vihere here sana?
Si vizuri kuniita "Dada" mkuu hasa ukizingatia mimi ni MWANAUME,kingine me ni shabiki wa Simba,lakini kumfukuza kocha sioni ni sahihi,siruhusiwi kutoa maoni yangu?.
 
Klabu kubwa haiwezi kuwa na watendaji kama Manara! Neva........Hata huyo Senzo naye anakauswahili au anaendeshwa na mwenye timu!
 
Ikifika mwakani uje uniambie mko namba ngapi napo.

Pia nikwambia tu kuwa vile sio vilabu vikubwa. Tujue kutofautisha hilo.
Hata huu uzi wako ungesubiri uandike hiyo mwakani maana kwa mwaka huu hauna vigezo vya kuiita simba timu ndogo.
 
Hata huu uzi wako ungesubiri uandike hiyo mwakani maana kwa mwaka huu hauna vigezo vya kuiita simba timu ndogo.
Timu kubwa Africa zipo kwenye nchi ambazo hata rankings za FIFA wapo juu. Tanzania tupo chini sana. Ni aibu kuzungumzia timu kubwa inayotolewa first round ya CAF Championship. Forget about ndondokela ya mara moja. Consistency is everything in football.
 
Simba Sports Club
Ni timu kubwa magazetini, redioni, mitandao ya kijamii, na midomoni mwa mashabiki na viongozi.

Simba Sports Club
Inawachezaji wengi "wazee" wazoefu, inawachezaji wenye viwango vya kukaribiana.

Simba Sports Club
Haina kikosi cha kushindana na miamba ya Africa, bado wataendelea kusurubishwa ugenini kwa vipigo heavy.

Matokeo yake inayapata uwanja wa Taifa zaidi, hivyo kwa zile mechi za mtuano home and away Simba ni wabovu sana, ni wazuri kwa kuangalia points (ushindi points 3)
Reference: Nkana, Vita, Tp Mazembe, Js Soura, Al Ahly, Ud Songo, Al Masry,

Simba Sports Club
HAITAFIKA HATUA YA 8 BORA TENA KWA MIAKA IJAYO 10+ labda zile Bilioni 20 za Mo wasajili wachezaji walau wa 5 wenye thamani ya Bilioni 3 kila mchezaji ila sio hawa kina Wilker.

Simba bado ni mbovu, wapige kelele tu hapa VPL ila kinyume na hapo hakuna la maana Simba itafanya.

Waliahidi kushindania kuwasajili wachezaji wakubwa Afrika ila hakuna walichofanya. Waliwashindwa Tuyisenge, Walter Bwalya. Wakienda kuleta akina Kennedy Juma Ahahahaahhaahha
POVU RUKSA
 
Back
Top Bottom