mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kukujua ukuu wa simba ni upofu wako tuu,timu inafanya vizuri inamashabiki wengi, wachezaji wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio akakurupuka kuiga juice ya ukwaju auze 300? Ha ha haaaa! Wamemuonea tu UchebeMO amepata hasara baada ya simba kutolewa klabu bingwa afrika mapema, hiyo ndio sababu kubwa ya kocha kutimuliwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]Umejitahidi Leo, umeongea pumba yenye chengachenga zinazofaa kwa kuku wanao taga,[emoji38][emoji38] hebu chukua sumu ya panya hapo dukani nakuja kulipia kesho wakati wa kuzika...
Samahani mkuuSi vizuri kuniita "Dada" mkuu hasa ukizingatia mimi ni MWANAUME,kingine me ni shabiki wa Simba,lakini kumfukuza kocha sioni ni sahihi,siruhusiwi kutoa maoni yangu?.
Achana na huyo ni mchawi.Afrika tuna timu zaidi ya 200, kwenye rank Simba/Lunyasi/Mnyama iko namba 16
Unashindwa kuiita timu kubwa kwasababu zipi tena bwashee?
Tutashuka endapo walioko nyuma yetu watafanya vizuri, endapo wasipofanya vizuri, tunaweza bak hapo hapo au kushuka kidogo sanaHalafu anadhani watakuwa hapo milele. Wasubiri ranking inayokuja baada ya UD Songo kuwaweka mahala pao.
Haji Manara anajitapa,mashabiki wanajitapa,viongozi wanajitapa kwamba Simba ni klabu kubwa. Hv ukubwa Simba uko wapi labda wenzangu mnisaidie.Yaani kufika robo fainali Caf champions ligi baada ya miaka zaidi ya 15 ndo mnajimwambafai kwa kiasi hicho? Vipi TPMazembe au Vita wasemeje? Kujiona wakubwa ndio maana mnafukuza makocha ovyo ovyo huku mnaongoza ligi, maajabu ya Dunia aisee. Hv mnaelewa maana ya ukubwa wa club?
Club inaendeshwa kwa majungu na fitina na bila weledi ukubwa wake uko wapi? Ni kweli Simba km ilivyo kwa Yanga ni miongoni mwa timu maarufu Africa mashariki na Afrika kwa ujumla lakn si kubwa kiivo. Kuna mengiiii sn ya kuendelea kujifunza ili kuufikia huo ukubwa wanaoutaja.
Shida tunajidanganya sn, Ausems kaondoka kwa sababu ya uchanga wa club zetu ambazo hazitaki kujifunza miaka nenda rudi. Kwa staili hii mspobadilika Simba itarudi tena robo fainali baada ya miaka 15.