Hivi ukubwa Simba SC uko wapi?

Kukujua ukuu wa simba ni upofu wako tuu,timu inafanya vizuri inamashabiki wengi, wachezaji wengi
 
Umejitahidi Leo, umeongea pumba yenye chengachenga zinazofaa kwa kuku wanao taga,[emoji38][emoji38] hebu chukua sumu ya panya hapo dukani nakuja kulipia kesho wakati wa kuzika...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]
 
Ukubwa wa 5imba ni ule uwezo wake wa kuhimili migoli mi5 mi5 kutoka kwa AS VITA na AL AHLY ndani ya wiki mbili bila kuomba maji. Kwa kifupi 5imba ni 'mama kubwa'
 
Halafu anadhani watakuwa hapo milele. Wasubiri ranking inayokuja baada ya UD Songo kuwaweka mahala pao.
Tutashuka endapo walioko nyuma yetu watafanya vizuri, endapo wasipofanya vizuri, tunaweza bak hapo hapo au kushuka kidogo sana
 
Yanga imefika robo fainali ya CAF baada ya miaka mingapi?
 
Hiki ni kidomo-domo baada ya mbeleko kukatika,Simba ndo iliwapeleka CAF nyie mabwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…