Hivi Ulaya kuna utaratibu wa kuulizwa jina la balozi wa mtaa/mtendaji kata, diwani au mbunge ili kuthibitisha kama ni mkazi wa sehemu husika?

Ninauhakika asilimia 100 cheo cha ngazi ya chini kabisa katika viongozi huko CCM ni cheo cha Ujumbe cheo cha ubalozi kilishafutwa ,
Wewe utakuwa ni mmoja wa mambumbumbu niliowataja hapo juu
Hivi,unaandika ukiwa hai au umekufa?Usiwe na ubishi kama umekula mapera.Kitazame kioo umuone mbumbumbu mzungu wa reli.
 
Balozi wa huko mtaani sio cheo rasmi katika mfumo wa serikali
 
Hiyo itakuwa mitaa ya kimasikini sana
 
"Jengo kubwa"
 
NIDA ifanye kazi yake, igawe vitambulisho kwa raia wote tuache kuishi maisha ya kijima.
 
Kufira watu ni kinyume cha sheria Tanzania
 
Sio kweli, kwanza Ulaya mitaa imepangwa vizuri na barabara zinaeleweka, huwezi kukutana na chochoro za ajabu ajabu za kutokezea uwani kwa watu
 
Huko barua inayotakiwa ni ya mtendaji wa mtaa / kijiji na sio Balozi .
Dah ila nimeamini hii nchi asilimia kubwa ya wananchi wake mambumbumbu.
Kuna ishu mbalimbali ndogondogo watu hawazifahamu
Wewe ndio mbumbumbu hufahamu kitu, ili upokelewe na Mwenyekiti wa mtaa au Afisa Mtendaji wa mtaa ni lazima uende na barua ya utambulisho ya huyo balozi/mjumbe wako.

Ukitaka kuhudumiwa ngazi ya Kata utambulisho unatoka kwa Mwenyekiti wa mtaa na Afisa Mtendaji wa mtaa.

Ukimuwekea mtu dhamana Polisi au mahakamani na akaruka dhamana, ile barua ya utambulisho tracking reference zinashuka mpaka kwa balozi wake awaoneshe unaishi wapi, unaweza kudhani wenzako hawana akili kumbe wewe ndio taahira kabisa.
 
Balozi wa nyumba kumi huwa anapatikanaje?
 
Hawaulizi ila kwa mfano USA kitambulisho au leseni ya kuendesha ina anuani ya nyumba unayoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…