Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi kuna huduma utaitaka sehemu yoyote bila utambulisho au uthibitisho wa mwenyekiti au Mtendaji?Mfano huduma gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna huduma utaitaka sehemu yoyote bila utambulisho au uthibitisho wa mwenyekiti au Mtendaji?Mfano huduma gani
Mbona unachanganya mada , hoja ni kuhusu cheo cha Balozi na sio mwenyekiti au mtendaji ,Hivi kuna huduma utaitaka sehemu yoyote bila utambulisho au uthibitisho wa mwenyekiti au Mtendaji?
Huko barua inayotakiwa ni ya mtendaji wa mtaa / kijiji na sio Balozi .Kupata kitambulisho, au pasi ya kusafiria.
Ok.Haujapenda kutanua mjadala tu.Ngazi ya kitongoji,Kijiji,mtaa hakuna wadhifa wa balozi.Mabalozi wamebaki wa CCM tu ili kuwahamasishia mambo yao kichama.Mbona unachanganya mada , hoja ni kuhusu cheo cha Balozi na sio mwenyekiti au mtendaji ,
Jiridhishe.Hata huko CCM hakuna cheo cha Balozi walishabadili hivyo vyeo muda sana
Naongelea kwa Tanzania.Huko barua inayotakiwa ni ya mtendaji wa mtaa / kijiji na sio Balozi .
Dah ila nimeamini hii nchi asilimia kubwa ya wananchi wake mambumbumbu.
Kuna ishu mbalimbali ndogondogo watu hawazifahamu
Hivi,unaandika ukiwa hai au umekufa?Usiwe na ubishi kama umekula mapera.Kitazame kioo umuone mbumbumbu mzungu wa reli.Ninauhakika asilimia 100 cheo cha ngazi ya chini kabisa katika viongozi huko CCM ni cheo cha Ujumbe cheo cha ubalozi kilishafutwa ,
Wewe utakuwa ni mmoja wa mambumbumbu niliowataja hapo juu
Balozi wa huko mtaani sio cheo rasmi katika mfumo wa serikaliKwa sasa BALOZI sio kivile ila kimjua MWENYEKITI WA MTAA WAKO ni jambo Muhimu sana
7bu yeye ndo mtu wa kwanza kukukutea katika kila jambo litakalohitaji mwanzo
Hasa mambo kama hayo na tena inakupaswa uwe na namba yake ya SIMU ishu kama hizo za kiduanzwi zikitokea inakuwa rahisi kuziweka sawa
Ulaya yapo ndio ila wenzetu wanaita SHERIFF ambapo anakuwa na majukumu mengi ambayo moja wapo ndo kam hayo ya Kibalozi nk
Uchaguzi wa mabalozi huwa unafanyika lini??Huwezi kupata baadhi ya huduma za serikali bila kuanzia kwa huyo mjumbe wa nyumba 10.
Hiyo itakuwa mitaa ya kimasikini sanaIngawa tutaona hao waliomuweka mtu kati tukawaona kama wajinga lakini hili jambo lina umuhimu wake.
Mimi nilikuwa na tabia ya kukaa sehemu hata mtaa siujui unaitwaje, ila kuna siku sikumbuki nilitoka wapi mida ya saa tano usiku uwezi amini nilikuwa nataka bodaboda wa kunipeleka nyumbani ila nikashindwa kujieleza mtaa wote walinikataa wakijua kwamba nitakuwa sio mtu mzuri.
NB:KUNA MAMBO MADOGO SANA UKIYATAZAMA ILA YANAWEZA LETA UGUMU UKIWA NA SHIDA.
"Jengo kubwa"Yes. Tena ulaya, kuna baadhi ya nchi kama ubelgiji hata ukitaka kujenga jengo kubwa ramani yake lazima ikabandikwe ofisi ya mtaa. Raia wakiona jengo lako lina sura mbaya halitapendezesha mtaa wao wanakataa na utalazimika ubadilishe ramani mpaka waikubali ndipo unapewa kibali cha ujenzi.
NIDA ifanye kazi yake, igawe vitambulisho kwa raia wote tuache kuishi maisha ya kijima.Acha dharau - lazima uwajue majirani zako. Kwa mila na tamaduni za watanzania jirani ndiye mtu wa kwanza kukusaidia katika shida na raha. Huko Ulaya mtu mweusi anaweza kuuwawa kwa kukosea na kupita mtaa wa wazungu watupu. Jirani yako akiwa na tatizo na wewe, kitu cha kwanza atakupeleka kwa mjumbe wa mtaa, watu wengi hawana vitambulisho kwahiyo kujua majina ya Viongozi wa chini ndiyo suluhu yao.
Hawa mabalozi huwa wanapatikanaje??ukienda serikari ya mtaa kutaka baruaa yoyote inaabidi uende na barua ya balozi wako kama utambuliso na inawekwa kama reference, nadhani kuna namna wanatambulika labda marupurupu ndio hawana.
Kufira watu ni kinyume cha sheria TanzaniaAcheni mazoea ,serikali sio wehu wanasema mikataba ya upangaji itolewe na ofisi ya mtaa,Ili kukidhi vigezo vya UTAMBUZi ,kama hivyo ,utafilwa siku nyingine,........
Huo sio uungwana kutumia lugha ya matusi...........kama huwezi kuheshimu watu....jiheshimu mwenyewe itakusaidia maishani.
Sio kweli, kwanza Ulaya mitaa imepangwa vizuri na barabara zinaeleweka, huwezi kukutana na chochoro za ajabu ajabu za kutokezea uwani kwa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulaya kuna vichochoro Uwani kwa watu?
Una bahati kweli, bora hao wamekuuliza balozi wako n.k, Ulaya ukatishe uwani wa mtu wala haulizwi umetokea wapi, wewe ungepigwa risasi tu.
Wewe ndio mbumbumbu hufahamu kitu, ili upokelewe na Mwenyekiti wa mtaa au Afisa Mtendaji wa mtaa ni lazima uende na barua ya utambulisho ya huyo balozi/mjumbe wako.Huko barua inayotakiwa ni ya mtendaji wa mtaa / kijiji na sio Balozi .
Dah ila nimeamini hii nchi asilimia kubwa ya wananchi wake mambumbumbu.
Kuna ishu mbalimbali ndogondogo watu hawazifahamu
Ulikuwa unajibu hoja au? Sijaelewa unanijibu au una toa taarifa kwa mleta mada?Sio kweli, kwanza Ulaya mitaa imepangwa vizuri na barabara zinaeleweka, huwezi kukutana na chochoro za ajabu ajabu za kutokezea uwani kwa watu
Balozi wa nyumba kumi huwa anapatikanaje?Wewe ndio mbumbumbu hufahamu kitu, ili upokelewe na Mwenyekiti wa mtaa au Afisa Mtendaji wa mtaa ni lazima uende na barua ya utambulisho ya huyo balozi/mjumbe wako.
Ukitaka kuhudumiwa ngazi ya Kata utambulisho unatoka kwa Mwenyekiti wa mtaa na Afisa Mtendaji wa mtaa.
Ukimuwekea mtu dhamana Polisi au mahakamani na akaruka dhamana, ile barua ya utambulisho tracking reference zinashuka mpaka kwa balozi wake awaoneshe unaishi wapi, unaweza kudhani wenzako hawana akili kumbe wewe ndio taahira kabisa.
Anateuliwa na Chadema.Balozi wa nyumba kumi huwa anapatikanaje?
Hawaulizi ila kwa mfano USA kitambulisho au leseni ya kuendesha ina anuani ya nyumba unayoishi.Nikiwa narudi zangu ghetto imebidi nipite shortcut bahati mbaya nimekosea njia nakujikuta napita njia ya kwenda uhani kwa mtu sio mzuri kwenye vichochoro vya mjini sasa wahusika wakaanza kuwa na mashaka na mimi.
Wakaniweka mtu kati nakuanza kuniuliza maswali with confidence nikawaelezea kuwa naelekea nyumbani ila bahati mbaya nimekosea njia.
Wakaanza kuniuliza balozi wako anaitwa nani? Kimsingi sio kwa ubaya licha ya kuishi huu mtaa simjui balozi, mtendaji wala diwani. wakanituhumu kuwa mimi nitakuwa mtu mbaya na sio mkazi wa sehemu husika kisa simjui balozi.
Hivi kweli kwa ingia na kutoka ya jiji hili la Dar es salaam jumlisha wingi wa watu pamoja na harakati za kimaisha kuna umuhimu gani wa kuulizana majina ya viongozi wa ngazi za chini?