Hivi ule mradi wa urenium huko mto mkuju wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma uliishia wapi!?

Hata Sina kinyongo

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
118
Reaction score
280
Mapema mwaka 2011 mradi ule ulishika kasi sana na hata kupelekea makampuni ya Mantra na Uranex kuanza kuajili nguvu kazi kwa ajili ya utekelezwaji wa mradi ule.

Lakini kwa miaka ya hivi karibuni si tu mradi ule unaendelea pia hata kusikika tu uendelezwaji wake ni kimya!

Ni kipi kiliukumba mradi huo!?
 
Watu wanavuna matrilioni huko Mkuju kimya kimya, we muulize mzee wa Msoga akwambie, acha tu, inatia uchungu sana.
 
Acha kupotosha ww ule mradi umesimama Kwanza serikali iliingia mkataba na kampuni ya Australia ambayo yenyewe ikawauzia kampuni ya urusi jamaa wanalipa tuu tozo ila hakuna kinachoendelea pale inasemekana uraniam ya pale kwamba haina kiwango na ipo mbali mbali.
 
Kuna yule bilionea wa Urusi alinunua hiyo kampuni kwa matrillion, kwahiyo alinunua bila kujiridhisha upatikanaji wake, inaingia akilini hiyo?
 
Back
Top Bottom