Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
...aisee!Watu wanavuna matrilioni huko Mkuju kimya kimya, we muulize mzee wa Msoga akwambie, acha tu, inatia uchungu sana.
Acha kupotosha ww ule mradi umesimama Kwanza serikali iliingia mkataba na kampuni ya Australia ambayo yenyewe ikawauzia kampuni ya urusi jamaa wanalipa tuu tozo ila hakuna kinachoendelea pale inasemekana uraniam ya pale kwamba haina kiwango na ipo mbali mbali.Watu wanavuna matrilioni huko Mkuju kimya kimya, we muulize mzee wa Msoga akwambie, acha tu, inatia uchungu sana.
Watu wanavuna matrilioni huko Mkuju kimya kimya, we muulize mzee wa Msoga akwambie, acha tu, inatia uchungu sana.
Hatari mzee!Umenikumbusha kampuni ya mantra selous G reserve,
Unaambiwa na nani!?Ukiuliza unaambiwa umetukana
Kuna mpuuzi mmoja humuUnaambiwa na nani!?
Kuna yule bilionea wa Urusi alinunua hiyo kampuni kwa matrillion, kwahiyo alinunua bila kujiridhisha upatikanaji wake, inaingia akilini hiyo?Acha kupotosha ww ule mradi umesimama Kwanza serikali iliingia mkataba na kampuni ya Australia ambayo yenyewe ikawauzia kampuni ya urusi jamaa wanalipa tuu tozo ila hakuna kinachoendelea pale inasemekana uraniam ya pale kwamba haina kiwango na ipo mbali mbali.