Tofautusha marksmanship na sniping,, hyo ya range ni marksmanship,, skill ya muhimu kwa kila mwanajeshi,, sniper z more than snipingMkiwa jeshini, kwa ajili ya mafunzo (military course) achana na hii kwa mujibu wa sheria, pamoja na mafunzo mengi mtakayopitia baadae mtaanza mafunzo ya kutumia silaha, kwa maana ya kuifahamu silaha kuanzia kuifungua, kuisafisha, kuifunga tena na kisha kuitumia. Kwenye mafunzo ya kuitumia (range) kuruta (wanafunzi wa kijeshi) wote mtapewa silaha na idadi sawa ya risasi then tunaelekea uwanja wa range ambako tutakuwa na kazi ya kuilenga ile bull (target) kwa idadi ya risasi 5 kwa kila kuruta, hapo sasa ndo tunaanza kuwapata mananga na walioiva (hapo mnakuwa mshapewa maelekezo jinsi ya kulenga.) Sasa usnipa unaanzia hapo, i.e kipaji +maelekezo mliyopewa...
Kwenye risasi 5, kuna mmoja hatagusa kabisa bull, kuna mwingine atapiga tu body, kuna mwingine atapiga bull risas moja na kuna mtu atapiga 4 ..hapo sasa ndo mchujo ushaanza ndugu yangu kuelekea usnaipani,
Nimejaribu kueleza kwa kifupi!
Ila ndo tunaanzia huko mkuu, huwezi kutafuta watu tu frm no where ukasema twendeni mkajifunze, katika ku-make hii skill muhimu kwa kila mwanajeshi ndo tunawatambua sasa wanaoweza kwenda snipping officiallyTofautusha marksmanship na sniping,, hyo ya range ni marksmanship,, skill ya muhimu kwa kila mwanajeshi,, sniper z more than sniping
Kila mwanajeshi lazma awe a good marksman,, but cjui mnachaguaje but zle hesabu za projectiles cdhan kama kila mjeshi anaweza kuzifanya so lazma kuwe na mchujoIla ndo tunaanzia huko mkuu, huwezi kutafuta watu tu frm no where ukasema twendeni mkajifunze
Ni kweli kabisa mkuu, zile hesabu changamoto, mchujo ni lazima hasa kwa wale wanaozigusia gusiaKila mwanajeshi lazma awe a good marksman,, but cjui mnachaguaje but zle hesabu za projectiles cdhan kama kila mjeshi anaweza kuzifanya so lazma kuwe na mchujo
Ndo hvo washkaj wako nondo sana hasa physicsNi kweli kabisa mkuu, zile hesabu changamoto, mchujo ni lazima hasa kwa wale wanaozigusia gusia
Hamza alijifunza kupitia mitandao, tumia simu yako.Habari wanajamvi poleni na misongo ya mawazo (tozo) na mengine mengi.
Tafadhali naomba wajuvi wa mambo naomba kuuliza swali hivi hawa watu walenga shabaha (snipers ) wanapatikanaje jeshini ni mafunzo tuu au na kipaji cha mtu kinachangia?
Je, training zao zipo kama za askari wa kawaida au kuna la ziada na katika kikosi kimoja cha askari huwa wanakaa wangapi (katika mission)?
Pamoja na kipaji na interest kuna mafunzo rasmi na maalumHabari wanajamvi poleni na misongo ya mawazo (tozo) na mengine mengi.
Tafadhali naomba wajuvi wa mambo naomba kuuliza swali hivi hawa watu walenga shabaha (snipers ) wanapatikanaje jeshini ni mafunzo tuu au na kipaji cha mtu kinachangia?
Je, training zao zipo kama za askari wa kawaida au kuna la ziada na katika kikosi kimoja cha askari huwa wanakaa wangapi (katika mission)?
Wacheki hawa,kuna la kujifunza hapaPamoja na kipaji na interest kuna mafunzo rasmi na maalum
Naomba nisaidie nakala ya hiki kitabuMfano ni Kwenye mafunzo mnaweza mkapewa risas 10 mnawekewa Target mbele hata umbali wa mita 100 baada ya kupewa mafunzo ya utumiaji sahihi wa silaha
katika kulenga hizo 10 wapo wataokosa zote wapo watakao piga Target kwa risas 5 , 2, 1 na ile target inakua na michoro sahihi ambayo inatoa point kwa kila sehem inayo pigwa mfano wa hii Target hapa chin ukipiga kwenye sehem nyeusi ni point 10 na unavyozid kupiga nje point zinapungua kuna 9,8,7,6
Hivyo majaribio ya Mara kwa Mara wapo watakao kua na uwezo wa kutandika risasi nyingi kwenye hii point nyeusi ambapo anakua anajikusanyia point nyingi zaid ya wenzake hao ndo wanaenda kuendelezwa na kupewa mafunzo zaid ndo ma-sniper wanavyoanza kuchujwa.View attachment 1930252
Yule alie mnanii nanii siyo sniper sniper anapiga risas moja tu akikosa Target anaweza kurudia ya pili lakin akikosa mission inakua imefeli na anaondoka eneo la tukio kwa haraka sana Sasa yule alie mnanii nanii alipiga risasi zaid ya 16 inaonekana ilitumika bunduki ya kivita na siyo silaha maalum kwaajili ya sniperNasikia yule jamaa wa 2017 kule dodoma jiji aliye mnani nani alikuwa ni sniper sasa mbona alishindwa kazi na alitumwa na yule aliye kuwa nani. [emoji135][emoji855][emoji855]