Hivi Ulengaji shabaha (sniping) ni kipaji au unapitia mafunzo maalumu?

Kuna kajamaa kanawinda mitaa fulani namba 3 huko, huwa kanauliza, nipige wapi? Kwenye paji? Unataka nimzibue jicho?la kulia la kushoto? Hakosi, ata umpe goroli hakosi, si mmmoja, baba yeke pia, na babu yao pia, kama risasi ni tatu watapiga swala watatu na ni katikati ya jicho..wanaoijua hiyo familia wanawajua hao jamaa, NB hawajapita jeshi, japo washapata vichapo sana toka kwa wanajeshi ktk harakati zao za uwindaji...mmoja ni chongo huyo ndo nuksi kweli kweli
 
kinaanza kipaji alafu inakuja trainning kwa hiyo huwa havitengani hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…